muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Yani 68% Kingozi - Lugha kutoka Lamu Kenya. Asante.Kiswahili 68% ni kibantu we nyangau.
Kiswahili ni asili ya Afrika/Tanzania.
Kama unabisha tuanze udadavuzi wa kiswahili.
Narudia, hicho kibantu ni Kingozi, Lugha kutoka Lamu, Kenya.Kwamba ukienda uarabuni unawezaongea kiswahili ukaeleweka?
Jinga sana,
Sifa mojawapo ya Lugha yotote duniani ni Kuwa Lugha hutohoa maneno toka Lugha nyingine. Kiswahili kimetohoa baadhi ya maneno toka kwenye Lugha nyingine zikiwemo Kingereza, Kijerumani nk. Hata hivyo predominately Kiswahili ni Lugha ya Kibantu,
Ni kawaida. Ndio maana unaona Lugha kama Kiitaliano ina maneno mengi sana ya Kingereza. Nothing wrong .
Lamu? Jinga lingine low iq detected, Ulienda shule kweli ? Wewe asili yako ni kabila gani ? Mimi ni mbantu and I can easily relate lots of swahili words with my tribal language.Narudia, hicho kibantu ni Kingozi, Lugha kutoka Lamu, Kenya.
Ndio, unawezaenda uarabuni ukaongea kiswahili na ueleweke.Kwamba ukienda uarabuni unawezaongea kiswahili ukaeleweka?
Jinga sana,
Sifa mojawapo ya Lugha yotote duniani ni Kuwa Lugha hutohoa maneno toka Lugha nyingine. Kiswahili kimetohoa baadhi ya maneno toka kwenye Lugha nyingine zikiwemo Kingereza, Kijerumani nk. Hata hivyo predominately Kiswahili ni Lugha ya Kibantu,
Ni kawaida. Ndio maana unaona Lugha kama Kiitaliano ina maneno mengi sana ya Kingereza. Nothing wrong .
And who said it's 100%Kiswahili 68% ni kibantu we nyangau.
Kiswahili ni asili ya Afrika/Tanzania.
Kama unabisha tuanze udadavuzi wa kiswahili.
Wewe wacha upumbavu 😂😂 hakuna lugha yoyote duniani ambayo 100% nativeThe fact that hiyo lugha is not 100% African it isn't native to Africans as you imply. Asengekuja mwarabu wewe sasa hivi ungekuwa unaongea kinyamwezi kama lugha yako rasmi
Kwa hiyo kiarabu na kiswahili ni lugha mbili tofauti au sio?...Anafaa ajiulize ni kwa nini Kuna baadhi ya maneno ya kiarabu na kiswahili yanaendana both in pronounciation and meaning
Unachekesha😎Narudia, hicho kibantu ni Kingozi, Lugha kutoka Lamu, Kenya.
Sasa ukishajua hilo mbona mseme kiswahili ni chenu?Wewe wacha upumbavu 😂😂 hakuna lugha yoyote duniani ambayo 100% native
Inaonekana hawa nyang’au hawajui kitu, wamefundishwa kuwa Kiingereza ni lugha ya kikenya na Kiswahili ni lugha ya kiarabu😎Wewe wacha upumbavu 😂😂 hakuna lugha yoyote duniani ambayo 100% native
Unafahamu kuwa lugha zote hapa duniani zimechanganya maneno kutoka lugha zingine?Ndio, unawezaenda uarabuni ukaongea kiswahili na ueleweke.
Maneno kama habari na duka are all Arabic words. Habari (Khabar), karibu (qareeb), salama (salaam). I can give you so many examples
Waarabu watatengeneza wanamgambo kudistabu productionHabari njema sana kwa Namibia.
As we speak Namibia ni Nchi iliyoendelea , watu wana maisha mazuri sana,
Sipati picha Hawa jamaa wakianza kuchimba wese. Hakika In Just 10 years watakuwa kama Norway.
Kwa ujumla nchi za SADC ziko vizuri. Ufukara unaanzia huko Kunya kupanda huko Ethiopia, Sudani ya Kusini na Huko Africa Magharibi. kuna nchi moja fukara waligundua mafuta mapipa elfu 50 wakawa wanatupigia kelele humu hatulali, wakaanza kusafirisha na lori la isuzu. Sijui waliishia wapi .
NB: Ni muhimu sana Tanzania kuwekeza nguvu na Jubudi zaidi Huku SADC.
View attachment 2971521
Who gives a damn about league ya Ukunyani?Hvi kwann Kenya league haiko live score🤣
View attachment 2971559
Ushuzi mtupu. Sasa naanza kuelewa kwa nini nyie nyang’au bado mnang’ang’ania Kiingereza kama ni lugha yenu, ha ha ha😎The fact that hiyo lugha is not 100% African it isn't native to Africans as you imply. Asengekuja mwarabu wewe sasa hivi ungekuwa unaongea kinyamwezi kama lugha yako rasmi
Wacha upumbavu wewe kilaza, language standardization iliyo fanywa kwenye lugha ya kiswahili maneno mengi yalitokea kwenye KIUNGUJA dialect (lahaja), and it contributes about 60% of all the kiswahili words, na ndio maana tunasema kiswahili ni chetu.Sasa ukishajua hilo mbona mseme kiswahili ni chenu?
Shida yako ukiambiwa ukweli wenye hujui unaanza matusi. Kiswahili kimetoka kwa lugha ya Kingozi. Soma historia. Wewe Mbantu utapata maneno mengi ya lugha yako kwa kiswahili ila lugha yako sio chanzo Cha kiswahili. Sikiiza Mgiriama akiongea ama Mpokomo. Lugha yao ni kiswahili kwa asilimia 90. Soma historia uwache kuwa mjinga.Lamu? Jinga lingine low iq detected, Ulienda shule kweli ? Wewe asili yako ni kabila gani ? Mimi ni mbantu and I can easily relate lots of swahili words with my tribal language.
Historia hii umeipata wapi we fala maandazi? 😂😂😂😂Shida yako ukiambiwa ukweli wenye hujui unaanza matusi. Kiswahili kimetoka kwa lugha ya Kingozi. Soma historia. Wewe Mbantu utapata maneno mengi ya lugha yako kwa kiswahili ila lugha yako sio chanzo Cha kiswahili. Sikiiza Mgiriama akiongea ama Mpokomo. Lugha yao ni kiswahili kwa asilimia 90. Soma historia uwache kuwa mjinga.