Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kitu gani kipo Mombasa znz hakuna

Znz kuna 5star hotel nyingi kuliko mji wowote Kenya

Znz kuna masoko yakisasa na kuna bus terminal ya kisasa inajengwa mjini

Znz ina modern and biggest international airport kuliko Mombasa

Znz ina hospital za kisasa na kubwa kuliko Mombasa

Znz ina state house ya kisasa na kubwa kuliko Mombasa

Znz ina clean water supply kuliko Mombasa ambayo mji hauna maji

Znz ina modern marine transport kuliko mji wowote Kenya na Africa yote kwa ujumla

Znz ina beautiful roads kuliko Mombasa

Znz inapokea watalii wengi kuliko Mombasa

Niendelee au inatosha ??😂😂😂
1. Aliyekudanganya Zanzibar Iko na five-star hotels nyingi kuliko miji zote Kenya ni nani? Unajua Nairobi kuna five-star hotels ngapi?

2. Hebu niletee soko yoyote Zanzibar yenye ukubwa kama Kongowea Market tuone
images - 2024-04-10T233649.512.jpeg
images - 2024-04-10T233456.148.jpeg


3. Biggest and morden international airport? Hii hapa iliyozungukwa na uswazi na terminal size ya choo?
images - 2024-04-10T190130.127.jpeg

Hii ndio unataka kukinganisha na Moi International Airport ambayo imewahipokea tuzo za kimataifa?
images - 2024-04-10T234344.573.jpeg


Hospitali gani kubwa ya kisasa Iko Zanzibar? What is its bed capacity and what unique cases does it handle?

Zanzibar kuwa na State House kubwa is self-explanatory because it is a semi-autonomous country with its own President.

Zanzibar has clean water supply than Mombasa? 🤣🤣🤣



Zanzibar Ina beautiful roads kushinda Mombasa?🤣😂😂
images - 2024-04-11T000926.719.jpeg
images - 2024-04-11T000312.782.jpeg
images - 2024-04-11T000909.075.jpeg
images - 2024-04-11T000844.700.jpeg
images - 2024-04-11T000022.377.jpeg
images - 2024-04-11T000120.102.jpeg
images - 2024-04-11T000236.492.jpeg
images - 2024-04-10T121502.981.jpeg


Sasa leta hizo beautiful roads za Zanzibar tuone

Ya mwisho, kubali wese ni kilaza usiyejua chochote
 
Wewe acha kushindana na ndovu kunya. Unaleta picha ya apartments mbili kisha unajitekenya?

This is Buxton Point affordable housing project in Buxton, Mombasa comprising of 584 units with a total cost of Ksh6 billionView attachment 2960161View attachment 2960162View attachment 2960163View attachment 2960164View attachment 2960165View attachment 2960166View attachment 2960167View attachment 2960168
 
I told you Tanzanian army was the weakest in Africa. In KDF entire time in DRC hakuna Jessi aliyekufa at mmoja.

As for Tanzania ukiona wamesema anti watatu wamekufa just know that wenye wamekufa are more than 30 with another 300 injured.
Sasa nyie Si mlikuwa mnapiga picha baada ya kupiga Hadi brigadier general wenu alikumbia uwanja wa vita kwa kuwa aliona drone mbili juu ya paa la Kambi yake
 
Sasa Al Ahly waedit picha ya Dar ili iweje? Itawafaidi nini? Mnapenda sana kutetea uozo wenu
Nadhani nililetaga mandhari ya taifa hapa na kusema kuwa pale kuna ofisi 90% sio makazi ya watu.
Yale mabanda chakavu ni nyumba za Temeke kwa Azizi Ally.
Sasa kama unabisha bisha.
Mie huwa sipendi ubishani wa kipumbavu.
 
Back
Top Bottom