Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani huo mshahara madaktari wetu wanakataa na kuugomea kisa ni mdogo, madaktari wenu wanaukimbilia. Halafu tukiwaambia nyinyi bado sana kwetu mnasema tunapenda sifa.
20240410_123250.jpg

Wadanganye wenzio huko kisumu ndogo komora
 
Ikiwa ulijiona noma kwa kuvaa zile viatu za matairi, siwezi shangaa pia kuto kumjua TID. Bush boi a.k.a mtoto pori. 😂😂😂
Ikiwa ulijiona noma kwa kuvaa zile viatu za matairi, siwezi shangaa pia kuto kumjua TID. Bush boi a.k.a mtoto pori. 😂😂😂
Bishana na maskini wenzako. Alafu bush boy ni wewe unayekula kwa kibanda ukitafuna chupa, bush boy ni wewe unayetumia Snapchat to edit your pictures wakati you are a man, a bush boy ni wewe unayelishwa na wasichana.
 
Back
Top Bottom