chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,689
- 45,953
Hakuna hunting inayofanyika kwenye NPs wala NPs ecosystems, ni kwenye reserved areas tu na Tanzania reserved areas ni kubwa kuliko NPsHao ndovu wa Serengeti ecosystem wanakaa miezi 8 Kati ya 12 Tanzania! Huwezi ku-claim wenu! Mshenzy wa tabia wewe! Culling itaendelea na hamtafanya lolote!