Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania inajulikana kwa lipi hapa duniani. Tupe proof badala ya kulialia.
Ushasahau kama Ngorongoro crater/Olduvai gorge ni miongoni mwa mambo yaliyoingia katika maajabu saba ya dunia??
Pia kumbuka kuwa Mt.Kilimanjaro ni miongoni mwa milima mirefu duniani hata Atlas inafahamu hilo.
Usisahau pia tuna ziwa la pili kwa kina kirefu duniani Lake Tanganyika.
Utaulizaje Tz inajulikana kwa lipi??
 
Jeshi la kubeba sufuria (TPDF) wanakula kichapo cha burukenge huko DRC. 3 dead 3 injured 😅
18276059_20240409113145_jpeg0ea69ea99138e4fecb80c8e552be1b7b.jpeg
 
Jeshi la kubeba sufuria (TPDF) wanakula kichapo cha burukenge huko DRC. 3 dead 3 injured 😅View attachment 2959438
I told you Tanzanian army was the weakest in Africa. In KDF entire time in DRC hakuna Jessi aliyekufa at mmoja.

As for Tanzania ukiona wamesema anti watatu wamekufa just know that wenye wamekufa are more than 30 with another 300 injured.
 
Kazi kurukia rukia post za watu bila kuelewa,
Huyo anayeandamana amechukua maneno ya TID na kuyabadili baadhi ya maneno na kuandika kwenye bango lake.
Kwani huyo TID ndio alibuni the words Why, Passing around and hate you?

Wewe kila siku you are exposing your stupidity here. Did you even attend any school really?
 
Back
Top Bottom