President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
We bado upo BBC kijana wangu . Unazeeka kabla ya kukomaa 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe ndio na hata wewe umejua wewe ni mjinga. Since when did that TID thing invent English words?
We bado upo BBC kijana wangu . Unazeeka kabla ya kukomaa 🤣 🤣 🤣 🤣Wewe ndio na hata wewe umejua wewe ni mjinga. Since when did that TID thing invent English words?
Unaweza leta ushahidi kuwa JWTZ imepoteza askari 30!?Nyinyi tayari mshapoteza 30 soldiers. Hakuna kitu mbaya kuwa na weak and poor army at the same time.
Oneni huyu. 😀 😀Ona ulivyo fala,kihistoria toka lini Kenya ikajulikana zaidi ya Tanzania!?
1)Julius Kambarage Nyerere ni miongoni mwa watu mashuhuri duniani na aliingizwa katika hilo jarida 1990s.Je kuna rais wa Kenya aliyeingiza katika jarida la viongozi mashuhuri duniani??
2)Tanzania inajulikana Afrika kama nchi iloongoza kupatia mataifa mengine uhuru.Ndio maana unakuta Tanzania katika masuala ya kidiplomasia inapewa kipaumbele kuliko Kenya,Tulitoa General secretary wa UN Asha Rose Migiro na sasa tuna RAIS WA WABUNGE AMA SPIKA WA BUNGE DUNIANI DR.TULIA AKSON.Je Kenya mmetoa mtu yupi mashuhuri zamani na sasa!?
3)Rais Samia ameingizwa katika list ya wanawake mashuhuri duniani kwa sasa na kote ulimwenguni inafahamika.Je mna mwanamke mashuhuri Kenya ambae kiongozi!?
4)Tanzania kimpira imefanya ijulikane na sasa hivi ina wafuasi wengi mpaka Spain mathalan Mussonda mchezaji wa Yanga aliletewa zawadi kutoka Hispania hivyo inamaanisha NBC PL inatizamwa.Vipi kuhusu ninyi!?
Hayo yanakutosha pambana na hayo kwanza.
Empty talker. Wapi evidence.?I told you Tanzanian army was the weakest in Africa. In KDF entire time in DRC hakuna Jessi aliyekufa at mmoja.
As for Tanzania ukiona wamesema anti watatu wamekufa just know that wenye wamekufa are more than 30 with another 300 injured.
Ikiwa ulijiona noma kwa kuvaa zile viatu za matairi, siwezi shangaa pia kuto kumjua TID. Bush boi a.k.a mtoto pori. 😂😂😂Kwanza TID ndio nani? Secondly when did that idiot invented English words? Why are you forcing everybody to see your foolishness? Ati mtanzania ndiye aliyeandika kiingereza, maajabu 😂😂
Kama ni uongo pinga.Oneni huyu. 😀 😀
80% ya Mombasa people r Bangladesh slum dwellers!
Kama unaona unajimudu na unaweza kuitetea mombasa dhidi ya Arusha city kwenye suala zima la makazi, twende ground tu, ukielemewa pia rukhsa kupost zile gorofa za 2 floors chakavu hapo Mombasa city center. 😂😂😂
Anafosi tufanane na hizo 2 floors chakavu buildings zilizosambaa mji mzima 😂😂😂. Kuna gorofa zisizozidi kumi tu zenye hauni hapo Mombasa, the rest ni takataka.
It will take Tanganyika a million years to have a second city like Mombasa beside your glorified fishing village aka DarChukua Mombasa+Kisumu+Nairobi+eldoret+Nakuru zote kwa pamoja njoo upambane na Dar na hio ruhusa nimekupa mm mwenyekiti😅😅😅
Sasa kama mtaa wenu wa kifahari kuliko zote Masaki ndio Kuna Barabara za vumbi sasa hapo zitakosekanaje?Hiyo mitaa ulitembea kwa miguu??
Hakuna sehemu ilokosa barabara ya rami na hakuma sehemu nyumba hazijapangika.
Hayo maeneo hakuna uswazi.
Ukitaka twaweza kukuletea picha za chini uone.
Sasa Al Ahly waedit picha ya Dar ili iweje? Itawafaidi nini? Mnapenda sana kutetea uozo wenuPicha imekua edited hiyo.
Ahly wamechukua picha ZA TEMEKE MTONGANI wakaunganish na za CHANG'OMBE TAIFA.
Taifa hakuna mazingira hayo
Kinachonifurahisha ni kwamba picha nyinyi za Nairobi siku hizi hukosi kuona green nets. It has become so normal
Hasira zako peleka chang'ombe uswaziniTakataka
Sina huo muda kaka. Una uhuru wa kuamini utopolo wako. 😉Kama ni uongo pinga.
Unaruhusiwa kupinga bro with vivid evidence.
Unakaribishwa.
Hii Ng'ombe ya Mama Ngina inasemaje?Hasira zako peleka chang'ombe uswazini
Duh huyu ni kipchirchir arap Teargas? Aisee kazi ipo🙂Kichwa kimejaa kamasi hata sikulaumu the way ulivo hata sishangai 👇👇👇👇
View attachment 2959550
Arusha is way better compared to this old town.It will take Tanganyika a million years to have a second city like Mombasa beside your glorified fishing village aka Dar
View attachment 2959688View attachment 2959689View attachment 2959691View attachment 2959692View attachment 2959693View attachment 2959694View attachment 2959696View attachment 2959697View attachment 2959698View attachment 2959699View attachment 2959700View attachment 2959701View attachment 2959702View attachment 2959703View attachment 2959704View attachment 2959705View attachment 2959706View attachment 2959707View attachment 2959710
Wanajeshi wetu wepi waliualiwa Congo wewe bongolala? Unafikiri waoga wenu wakiluliwa Kwa panga sasa majeshi yote mengine yako hivyo?Cha ajabu hao hao wenye mapanga wameua mwanajeshi wenu na mumewaogopa mkahepa Congo. 😂😂😂
Hii Arusha ama kuna Arusha nyingine?Arusha is way better compared to this old town.
Nikiweka picha ya zile nyumba za udongo kule mombasa utajicheka. Hakuna nyumba za udongo Arusha. 😂😂😂.Hii Arusha ama kuna Arusha nyingine?View attachment 2959753
Inasema hasira zako peleka hapaHii Ng'ombe ya Mama Ngina inasemaje?