Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1711728256730.png
 
Kwani hujaijua tourism industry ya Tanzania is controlled by Kenyans? Bila Kenyans Tanzanian tourism receipts will be below $1B.

Again Kenyans got money to spend, watanzania umaskini has blocked them from even touring their own country.
Tanzania ndio abroad yenu, wapi kwengine mtaenda zaidi ya Tanzania, mna majirani wa5 lakini Tanzania ndio your default option sometimes mnajifanyaga Uganda is your close sister country lakini hata tuwatoboe macho bado mtakuja Tanzania tu mpende msipende, kila siku mnaropoka traffic wetu wanawaonea mara Tanzanians ni hostilities lakini next round mnadouble arrivals number, haisaidii acha tuwatese tu at your own costs.
 
Hii rally tumekua tukiiandaa kila mwaka sasa wewe na ujing awako unadhani huu mwaka tunaiandaa kisa kuna mpira unachezwa hapo kwenu?
Heheheee na kwnn mmezidisha kasi kuanzia leo kwani habari kwamba mwaka huu huko kwenu kuna rally zimetoka leo? Wacheni upumbavu hakuna mtu asiyejua ukubwa wa mechi ya leo na kesho, alafu mechi yenyewe ni quarter finals ya caf champions league, koma kulinganisha mashindano makubwa kama haya na huo upuuzi wenu wa Rally inayofanyika Africa alafu Africa yenyewe Kenya.
 
Kwani hujaijua tourism industry ya Tanzania is controlled by Kenyans? Bila Kenyans Tanzanian tourism receipts will be below $1B.

Again Kenyans got money to spend, watanzania umaskini has blocked them from even touring their own country.
🤣🤣🤣🤣 Teargas bana. Nakukubali kwa kukaza fuvu.
 
Nani asiejua kwamba tumeshikilia sekta ya utalii Tanzania😎
Sio kwamba mmeshikilia sekta ya utalii, nani asiyejua kwamba Tanzania ni kuzuri kuliko kenya? Wakenya wengi maelfu kwa maelfu wanaenda tour SA kuliko wa SA wanaokuja kenya, je Kenya mmeshikilia sekta ya utalii SA? Hell no, ukweli ni kwamba SA ni pazuri kuliko Kenya, kuna sehemu za starehe nyingi kuliko kenya, the same applies to Tanzania, huku kuna sehemu nyingi za ku have fun kuliko kenya na huo ndiyo ukweli unaofanya wakenya wengi kuja mapumzikoni Tanzania, kwnn msiende Somalia, kwann msiende Uganda, kwnn msiende Ethiopia? Why Tanzania?
 
Hao jamaa maskini wa kutupwa. Watajulia wapi mambo mazuri.
 
Direct effects
-24,758 jobs
-shs 3.757 billion in labor income
- Competitors and staff spending sh 1.35 billions on accommodation, transport and food

In- direct effects
-Shs 38 billion in total economic value
-Shs 4.5 billion in free publicity
  • 100, 000 live spectators
  • 78 million people streaming from 150 countries to add on 886 million annual cumulative WRC audience.

Acha ujinga wewe, hizo $70 mil zinakuwaje injected? Wqnajenga hotel au barabara. Usitufanye sisi hatuna akili. The only money you get is from logistics and a few tourists.

Hata kwenye logistics mmewapa incentives kibao ili hiyo Safari rally ije tena Kenya. You are almost getting nothing!! Magari yakija hayalipi chochote.
WRC ina angaliwa na watu wangapi duniani?? Hiyo miaka 3 au 4 tangu muwe mnahost. Mmepata mafanikio gani directly kutoka WRC ukitoa hotel kujaa??

Halafu sasa njoo kwetu utuilize faida za hizi CAF matches have done for us.

Mbwa wewe!!
 
Back
Top Bottom