Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Unaumia ukiwa wapi?Kahumbura said what?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2948288
Last year Kenya earned $60M from Safari Rally.
Unaumia ukiwa wapi?Kahumbura said what?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2948288
Basi wako wapi? Tuonyeshe picha Yao wakifanya kazi.Walipanda kq au ?? We ulibeba mizigo yao🤣🤣
Show me any media outside Africa talking about CAF matches.Eti nobody knows about CAF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa wanafanya kusudi ili wapigwe ban wasiandae afcon mana serikali yao ishaona maji ya shingo, so wanafanya makusudi ili wapigwe ban, kuna mkono wa Ruto hapo.
Safari rally service park, the logistics involved here is massive.
View: https://twitter.com/SafariRallyWRC/status/1771832337195475334?t=jYQ64ictt0UPU6mPPZJHiw&s=19
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Spenders wenyewe ndio hawa wanaopikia mkaa na accompanied matoke from their villages probably watalala humo humo ndani ya basi halafu mtakaa msubiri dollars million 70 ziwe injected kwenye economy 😂😂😂
View attachment 2948216
Nani anawaangalia? Nobody cares about CAF.Wanajaribu kupoza machungu ya Tanzania kuangaliwa dunia nzima siku ya leo na kesho, eti Rally 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Makenya yana wivu sana wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Achana na hawa mafala wanaenda kutimuliwa vumbi na kunusurika vifo wenzao wenye akili wanakuja abroad kupata break ya motoni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
$6b unaijua au unaropoka tu mnuka mavi wewe.2023 it injected $6.3B
Mnaangaliwa nyie na safari rally, vp machungu yamepoa kdg au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nani anawaangalia? Nobody cares about CAF.
Sasa mbona wanalilia kuhost AFCON na iko chini ya CAF! 😂😂😂Eti nobody knows about CAF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Achana na hawa mafala wanaenda kutimuliwa vumbi na kunusurika vifo wenzao wenye akili wanakuja abroad kupata break ya motoni
View: https://x.com/OkiroMakena/status/1773682584922268061?t=rkhnbi-zT_WtPOHhbe6gmw&s=09
Africa na duniani inatumbua kuwa leo ni robo fainali ya CAFCL.Mnaangaliwa nyie na safari rally, vp machungu yamepoa kdg au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
I meant Ksh 6.3B.$6b unaijua au unaropoka tu mnuka mavi wewe.
Don't panic, andika vzr 🤣🤣🤣🤣🤣🤣So hiyo shirt Tanzanian economy pesa? Why are you so desperate? Kenya is busy earning $70M from Safari Rally wewe unatuonyesha tweets za shirts hapa.
Na ndiyo inawauma hawa wanuka mavi, wameji organize ili kujaribu kupotezea umaarufu tuliopata Tanzania kwa hizi mechi mbili.Africa na duniani inatumbua kuwa leo ni robo fainali ya CAFCL.
Kubishana na hilo popoma inahitaji ujifanye popoma. 😂😂😂Na ndiyo inawauma hawa wanuka mavi, wameji organize ili kujaribu kupotezea umaarufu tuliopata Tanzania kwa hizi mechi mbili.
Show me any Asian News outlet talking about CAF.Mnaangaliwa nyie na safari rally, vp machungu yamepoa kdg au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dunia nzima macho yako Tanzania 😅😅
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1773688853229867400?t=f-f-sd28mY_Gg72ygEuJsQ&s=19
Nimewaambia wanionyeshe any news outlet outside Africa talking about CAF wakashindwa. Hata Kenya, Uganda, Ethiopia, Nigeria, Ghana, Morroco, Ivory Coast, Senegal, Angola and DRC hakuna any news outlet talking about CAF.Dunia nzima ilhali gazeti ni la tanzania, 😃😃😃