Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Haya nambie Kenya unaingiza bei gani kwenye hio upuuzi wenu na mm nikupe positive kubwa Sana ya kiuchumi kwenye hii mechi mbili CAF champion
Safari rally is injecting $70M into Kenyan economy. CAF can’t even give Tanzania $1M.
 
Na hii hata 20% ya upanga hajaifikia 🤣🤣🤣
Ww ndio ulijenga hzo project zikawa stalled?? Au ww ndio engineer au ww ndio mmiliki unaongea kama vile mlevi 😅😅

Mm nimeona zaidi ya majengo 15 yanajengwa green nets na bado hapo hajaimaliza upanga 😅😅😅😅😅😅
Maybe hizo 15 are in your mind. Stupid refugee.
 
Toilet boy sisi tuko busy na international event ambayo inafanyika kenya wewe unabweka na CAF. WRC Ina ripple effect kubwa kwenye uchumi wa Naivasha na kenya ambayo pengine unaweza linganisha na AFCON finals pekee. Magical Kenya nao pia wamepata kazi rahisi manake hii ni free advertisement ambayo Ina shape positive image ya Nchi yetu ughaibuni

View: https://twitter.com/alfredarapketer/status/1773642077466714277?t=RIb6BDW6z8amReQwSl1GeQ&s=19

Wanashangilia village tournaments while Kenya is hosting world championships games.
 
Makwapa Stadium as captured by Alahly Photographer.

Look at the surrounding hell on earth.

1711711645809.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Haya nambie Kenya unaingiza bei gani kwenye hio upuuzi wenu na mm nikupe positive kubwa Sana ya kiuchumi kwenye hii mechi mbili CAF champion
Direct effects
-24,758 jobs
-shs 3.757 billion in labor income
- Competitors and staff spending sh 1.35 billions on accommodation, transport and food

In- direct effects
-Shs 38 billion in total economic value
-Shs 4.5 billion in free publicity
  • 100, 000 live spectators
  • 78 million people streaming from 150 countries to add on 886 million annual cumulative WRC audience.


 
There are 100,000 visitors that have come for the Safari Rally. How many visitors are in Tanzania for CAF village Tournament?
🤣🤣🤣🤣 We jamaa wewe. Kwahyo hiyo apo chini ndio uthibitisho ya 100k visitors.? Unajua 100k visitors au umeropoka tu?
Ugandans hired buses to come and see the Safari Rally, others come with personal cars and others used air transport.

View attachment 2948096
🤣🤣🤣
 
Direct effects
-24,758 jobs
-shs 3.757 billion in labor income
- Competitors and staff spending sh 1.35 billions on accommodation, transport and food

In- direct effects
-Shs 38 billion in total economic value
-Shs 4.5 billion in free publicity
  • 100, 000 live spectators
  • 78 million people streaming from 150 countries to add on 886 million annual cumulative WRC audience.


Leta ushahidi nchi inaingiza 70m USD nifunge ACC SASA hvi mwendawazimu ww hata 500k usd hamuingizi achilia mbali 1m USD 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom