Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha ujinga wewe, hizo $70 mil zinakuwaje injected? Wqnajenga hotel au barabara. Usitufanye sisi hatuna akili. The only money you get is from logistics and a few tourists.

Hata kwenye logistics mmewapa incentives kibao ili hiyo Safari rally ije tena Kenya. You are almost getting nothing!! Magari yakija hayalipi chochote.
WRC ina angaliwa na watu wangapi duniani?? Hiyo miaka 3 au 4 tangu muwe mnahost. Mmepata mafanikio gani directly kutoka WRC ukitoa hotel kujaa??

Halafu sasa njoo kwetu utuilize faida za hizi CAF matches have done for us.

Mbwa wewe!!
Na still hata viingilio ni bure just imagine sijui wanatoa wapi nguvu ya kusema 70m USD alaf hata hawashtuki na kukuuliza hzo pesa ziningia vp 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mkenya na kondoo tofaut ni mkia tu
 
Sio kwamba mmeshikilia sekta ya utalii, nani asiyejua kwamba Tanzania ni kuzuri kuliko kenya? Wakenya wengi maelfu kwa maelfu wanaenda tour SA kuliko wa SA wanaokuja kenya, je Kenya mmeshikilia sekta ya utalii SA? Hell no, ukweli ni kwamba SA ni pazuri kuliko Kenya, kuna sehemu za starehe nyingi kuliko kenya, the same applies to Tanzania, huku kuna sehemu nyingi za ku have fun kuliko kenya na huo ndiyo ukweli unaofanya wakenya wengi kuja mapumzikoni Tanzania, kwnn msiende Somalia, kwann msiende Uganda, kwnn msiende Ethiopia? Why Tanzania?
Hayo mambo ya uzuri unayajua mwenyewe manake hata nguruwe pia anaamini kwamba kwake ni pazuri. Isitoshe Kenya ndio safari capital ya Dunia tumewashinda kwa idadi ya watalii wa kimataifa. Kitu ambacho huwezi pinga ni kwamba tunawalisha kupitia receipts zetu, bila sisi Tanzania si chochote si lolote. Nenda kaoshe vyoo airport kijana wakenya tunakula bata na wasichana wenu😃
 
1711730593912.png

1711730639550.png
 
Acha ujinga wewe, hizo $70 mil zinakuwaje injected? Wqnajenga hotel au barabara. Usitufanye sisi hatuna akili. The only money you get is from logistics and a few tourists.

Hata kwenye logistics mmewapa incentives kibao ili hiyo Safari rally ije tena Kenya. You are almost getting nothing!! Magari yakija hayalipi chochote.
WRC ina angaliwa na watu wangapi duniani?? Hiyo miaka 3 au 4 tangu muwe mnahost. Mmepata mafanikio gani directly kutoka WRC ukitoa hotel kujaa??

Halafu sasa njoo kwetu utuilize faida za hizi CAF matches have done for us.

Mbwa wewe!!
Mzungu kamfanya mpaka Rais mzima wa nchi kawa kama wale flower boys naye yupo kwenye team ya PR and publicity this is too low for the whole president

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1773303077241590192?t=UgFJAbkdFmhw7DKGcsRCyw&s=19
 
People are excited because some random Kenyan journalist is speaking about their football. Explains who's the real big boy here.
Kenyan journalists are also speaking about EPL but English journalists know nothing about Kenyan football, that also explains who is the real big boy.
 
Super sport iko mpaka Europe kenge wewe🤣🤣

Na kabla ya kuja South Africa ilikua Europe
Supersport inamilikiwa na DSTV chini ya multi choice group ambayo ilianzishwa 1986 Kama (M-net) ndani ya south Africa. Europe ni sehemu gani south Africa🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom