Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Supersport inamilikiwa na DSTV chini ya multi choice group ambayo ilianzishwa 1986 Kama (M-net) ndani ya south Africa. Europe ni sehemu gani south Africa🤣🤣🤣
Narudia kukwambia nenda kasome historia ww mtoto mdogo Sana kabla ya supersport kuja Africa ulikuwepo Europe 🤣🤣🤣🤣🤣

Kasome alaf uje kondoo jike ww
 
Hii inakaaje mkuu.
Click hapo ingia uchague young Africans
Screenshots_2024-03-29-20-03-53.png
 
Accommodation =Money injected into the economy
Racing cars fueling = Money
Helicopters fueling = Money
Car service =Money
Helicopters Service =Money
Touring our parks = Money
Meals =Money
Government share = Money
New Telephone lines =Money
😂😂😂😂😂 New telephone lines nazo zinachangia kwenye hiyo $70 mil

Yani nimecheka balaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hayo mambo ya uzuri unayajua mwenyewe manake hata nguruwe pia anaamini kwamba kwake ni pazuri. Isitoshe Kenya ndio safari capital ya Dunia tumewashinda kwa idadi ya watalii wa kimataifa. Kitu ambacho huwezi pinga ni kwamba tunawalisha kupitia receipts zetu, bila sisi Tanzania si chochote si lolote. Nenda kaoshe vyoo airport kijana wakenya tunakula bata na wasichana wenu😃
Uchale kama huu nikiutaka nibonyeze wapi wakuu 😬😬😬😬
 
Maneno haya yanaonesha namna ulivyo desperate. Inaonesha namna usivyo na akili. Unadhani unataka kuwaumiza watanzania kumbe inaonesha namna ulivyo stupid.

Age of our President is 64 years. Age of Ruto 57 years.
Uwe na Adabu.
Wakenya hawana adabu kaka, tangu wakiwa wadogo wanalala na wazazi wao chumba kimoja mpaka wanakuwa wakubwa, yani chumba hichohicho analala baba, mama, kaka na dada. Huwezi kuwa na adabu kwa malezi kama hayo. Huoni hata wanasiasa wao wanatukana matusi makubwa makubwa public na wao wanashangilia tu, hawana adabu kabisa.
 
Back
Top Bottom