Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya ratiba ya CAF kutoka wakapost 🤣🤣

Haya tuambie CAF haijulikani SASA
Nobody knows CAFCL. Nimekuambia utuonyeshe any news outlet talking about it today ukashindwa kazi yako ni kuleta tu betting and live score sites hapa.
 
Nobody knows CAFCL. Nimekuambia utuonyeshe any news outlet talking about it today ukashindwa kazi yako ni kuleta tu betting and live score sites hapa.
Nimekuletea BBC, super sport, bein sport unataka nn kingine ikiwa FIFA wanamtambua ww Nani usiitambue 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 na CAF ni ya whole Africa na iko chini ya FIFA basi jitoeni africa nendeni Europe mbwa nyie
 
Nimekuletea BBC, super sport, bein sport unataka nn kingine ikiwa FIFA wanamtambua ww Nani usiitambue 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Umeshindwa kuleta habari ya Leo. Umeleta BBC ya Nairobi, hujaleta supersport.
 
Umeshindwa kuleta habari ya Leo. Umeleta BBC ya Nairobi, hujaleta supersport.
Ww khayawani kweli Nani aliekwambia BBC inamilikiwa na Nairobi 😅😅😅😅😅😅
Screenshots_2024-03-29-18-10-27.png
 
Back
Top Bottom