ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 73,463
- 137,003
Pesa gani inaingiza bus mbili kutoka uganda na madereva 29 wakushindana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Saa hii wamegundua Safari rally inatuingizia pesa mingi sasa wanapiga kelele.
Pesa gani inaingiza bus mbili kutoka uganda na madereva 29 wakushindana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Saa hii wamegundua Safari rally inatuingizia pesa mingi sasa wanapiga kelele.
Tena kwa ndege na huskii watu wanapigwa kelele 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
View: https://twitter.com/PKishamba/status/1773365078747664894?t=w3pWXn5cBW441l_0eB1xDg&s=19
Pengine alitaka samia suluhu aseme ndo imridhishe🤣🤣🤣
Wewe baki hapo ukipiga kelele as we wait for $70M to be injected into our economy.Ruto said, mm sitokopa tena, mm ntamtafuta vijana ajira Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣
Waandishi wenu wa habari wote wako dar es salaam wakiripoti matukio au unabisha
Samia bado anachange sanitary pads kule statehouse.Pengine alitaka samia suluhu aseme ndo imridhishe🤣🤣🤣
Kwani umeambiwa ni waganda pekee ndio wamekuja? Go back to your country idiot.Pesa gani inaingiza bus mbili kutoka uganda na madereva 40 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka Sana Leo tena nimecheka kwa nguvu Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pengine alitaka samia suluhu aseme ndo imridhishe🤣🤣🤣
Bus mbili muko hapa kupiga kelele 🤣🤣🤣Kwani umeambiwa ni waganda pekee ndio wamekuja? Go back to your country idiot.
Na bado, ndio unataka kucheka zaidi.Nimecheka Sana Leo tena nimecheka kwa nguvu Sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
After ruto said 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 the same guy alichukua madaraka hatokopa, Yule Yule aliwadanganya anaileta treni za umeme
Jamaa wanaumia mno. Mungu awasaidie tu. 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/bedjosessien/status/1773597985219211760?s=20
Endelea kulia, I like to see your tears dropping.After ruto said 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 the same guy alichukua madaraka hatokopa, Yule Yule aliwadanganya anaileta treni za umeme
Na huyu ni mwandishi wao mkubwa Sana Yuko dar anafatilia mtanange 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/bedjosessien/status/1773414803911893360?t=CDEltcJLY9XbRuEsiyujcA&s=19
Wakati manafurahia mwandishi habari wa Kenya sisi tunapata free publicity kutoka kwa major car brands duniani
View: https://twitter.com/OfficialWRC/status/1773629030991843395?t=xwcVSGEDG4d1e7ZemfKMEQ&s=19
View: https://twitter.com/HMSGOfficial/status/1773622612070977688?t=BOEfBi2qSpkgMsRj_BJavw&s=19
In Africa seeing is believing, unaeza nionesha walau picha kidhaa zikionyesha wingi wa watu wakihudhuria mashindano labda.?