Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya mna uwanja wenye hadhi ya Mkapa??
HIlo ni carpet la running track umeona pitch au tukuoneshe??
Huo uwanja ume host mashindano makubwa ya CAF.
Hata CAF kukubali Afcon kuwa hosted East Afrika ni kwasababu ya huo uwanja.

Mna mashindano gani makubwa ya Caf mliwahi host?
Wanasubiri Turubai la msiba huoni washaweka kambi huko kila siku wanahesabu, sie Arusha hatuna habari nayo, sababu kuu hatujawahi feli kwa miradi ya maana.

Muda huu pale rufiji kuna jitu linaunguruma, na shombo sio vilee.
 
Kampuni ambayo bado uwekezaji unaendelea sio Tatizo kubwa, Tatizo liko kwenu wenye ndege tatu chakavu alaf loss iko over 23b ksh kwa zaidi ya miaka 11 munaendesha hasara ikikadiriwa kufika 250b ksh kwa miaka yote ambayo hio pesa unaeza kujenga reli kutoka naivasha mpaka malaba SGR 😂😂😂😂
Huoni tatizo kwa taifa maskini linalotegemea grants (misaada) na mikopo ya shs 5.4T kila mwaka kujaza bajeti kuzamisha ushuru wake wa shs 3.6T kwa biashara ambayo haina faida yeyote kwenye uchumi na mwananchi.
 
90% of Aviation companies in Tanzania ni za wakenya. Hata hiyo ATCL wakilist on stock market wakenya watainunua.
Wow!… basically Bongolalas are our bitches… never knew that.. I guess we should just call them 254 owned bitches… 🤣🤣🤣🤣
 
Huoni tatizo kwa taifa maskini linalotegemea grants (misaada) na mikopo ya shs 5.4T kila mwaka kujaza bajeti kuzamisha ushuru wake wa shs 3.6T kwa biashara ambayo haina faida yeyote kwenye uchumi na mwananchi.
Ndio mama Ngina aliwadanganya hvi??🤣🤣 Kua Tanzania inategemea mikopo na grants na maendeleo yote yanayofanyika kwenye nchi hii, jiandae kisaikolojia keshokutwa B787 dreamliner inawasili hapo VP??
 
Alaf ndio Ina CAF and FIFA standards ww hushangai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Standard moja ya FIFA na CAF ni foldable seats, ebu tuonyeshe kiti kimoja cha benjamin makwapa stadium kikiwa kimekunjwa. Hapo ndio utajua kwamba mulifanyiwa hisani manake nyinyi ni LDC ndio maana hata madeni pia mna- samehewea😃 inakuaje azam stadium imekidhi standards hizo😀😀
 
Najua ni ignorance uko nayo kwa wingi
Hio ndio maana hujaleta Precision air. Ulijua utachapwa viboko. Shida hukufanya research kujua kwamba Kenyans own your Tanzanian registered aircraft and airline companies 😂
Sit and learn
View attachment 2947495
Dead airline. Tanzania kuna mashirika ya ndege zaidi ya 100. Precision is dead.
 
Back
Top Bottom