Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Kwa mwendo huu ni halali masaa 6 Mombasa to Nairobi😂😂
View: https://youtu.be/FKoqfPCeqSs?si=zpfOMJl3gyJQ6Q_-
English gn hii bibi titi ☝️☝️Jivunia your Swahili D. Najua you dropped out of school in class 4 and that’s where you got D in Kiswahili.
Tatizo nn kama MT Kilimanjaro ni mlima wa Tanzania mbona tusimwambie huyo Kellis? Ngoja niende ku-post pia!At buffalo44 jinsi ninavyokueleza daily juu ya hii tabia yako ya kulialia, huyu hapa Kelis, mwanamziki wa Marekani yupo Kenya. Kasema Ako kwa farm ya rafiki wake hapa Kenya na kaonyesha kwa video Mlima Kilimanjaro ukaonekana. Hapo hapo wabongo wakaleta siasa zao za Mlima uko Tz wacheni kuuiba. Hata Kelis naye amechoka nao kamjibu aache ujinga na hilo analijua.😂😂😂
Alafu nimependa jinsi Wakenya walivyojibu eti saa zingine wao husema Air Tz ni ya Kenya ndio acheke jinsi wabongo mnavyorukwa na akili. Ila Wabongo bana.😂😂
View attachment 2976450View attachment 2976451View attachment 2976452View attachment 2976453View attachment 2976455
Ndio maana tunawaambia hizi beef zenu na hasira zimetokana na inferiority complex na utoto. Kelis mwenyewe ashawai kuja Tanzania anajua mlima upo Tanzania. Hapo amesema tu anaupna Kilimanjaro ndio nyinyi Watanzania mmeanza kelele zenu. Ndio maana Kila siku mnasema tunawaibia vitu.😂😂Tatizo nn kama MT Kilimanjaro ni mlima wa Tanzania mbona tusimwambie huyo Kellis? Ngoja niende ku-post pia!
Sasa wewe watchman unajau nini?English gn hii bibi titi ☝️☝️
Mlima upo territory ya Tanzania! TRUE OR FALSE? Hamna kitu tumedanganya! Unaumia nn sasa? Kellis kuhabarishwa ukweli? Nimeweka comment yangu! Huwezi ona Mtanzania ana-claim Kibera true Kenyan slum 😂😂🤭🤭!!Ndio maana tunawaambia hizi beef zenu na hasira zimetokana na inferiority complex na utoto. Kelis mwenyewe ashawai kuja Tanzania anajua mlima upo Tanzania. Hapo amesema tu anaupna Kilimanjaro ndio nyinyi Watanzania mmeanza kelele zenu. Ndio maana Kila siku mnasema tunawaibia vitu.😂😂
Naweza pata link
The point is.Mlima upo territory ya Tanzania! TRUE OR FALSE? Hamna kitu tumedanganya! Unaumia nn sasa? Kellis kuhabarishwa ukweli? Nimeweka comment yangu! Hiwezi ona Mtanzania ana-claim Kibera true Kenyan slum 😂😂🤭🤭!!
Kwa mwendo huu ni halali masaa 6 Mombasa to Nairobi😂😂
View: https://youtu.be/FKoqfPCeqSs?si=zpfOMJl3gyJQ6Q_-
But she ought to know where that beautiful Mt Kilimanjaro belongs! Kelele za nini nyoko wewe? Beaten at ur own game? Its ours n i am proud to have informed Kellis about my country's treasure i.e. Mt Kilimanjaro! Nn unalialia kuna mtu kabisa Kibera is Kunyaland's?The point is.
1. Kelis is not Kenyan.
2. She didn't claim the mountain is in Kenya.
buffalo44 can and pick your granddad. He's losing his mind.
Hizo engine 2 power yake ni equivalent na engine moja ya TRCHalafu umeona engine mbili zinavuta behewa za abiria! Hiyo ina maana horsepower yake ndogo!