ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hujajibu swali bado ๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐Swali nilishajibu huko juu Akashindwa kuendelea na discussion.
Hujajibu swali bado ๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐Swali nilishajibu huko juu Akashindwa kuendelea na discussion.
Dunia nzima macho yako Tanzania ๐ ๐
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1773688853229867400?t=f-f-sd28mY_Gg72ygEuJsQ&s=19
Tena for at least 4 hours of negotiations and bargaining ๐๐๐Hawa kwanza nilidhani wamesimama kwa mama Ntilie wanunue kumbe inawezekana wamekodi moto tu ๐๐๐๐ zoom itaona wamebeba hadi madude ya ndizi .
Hizo gari hapo zinatumia maji?Hujajibu swali bado ๐ ๐ ๐ ๐๐๐๐
Kuna mjinga anajaribu kulinganisha Safari Rally with Dakar Rally.
View: https://twitter.com/FordPerformance/status/1771223476784808368?s=19
CAF iko chini ya FIFA, CAF inafatiliwaa ulimwenguni kote ๐ ๐ ๐ najua inachoma ila plz vumilia na ndio maana haya ndio mashindano makubwa africa nzimaCitizen Tanzania ni dunia nzima? Show me any European news outlet announcing CAF matches za Tz nitoke JF saa hii.
Safari rally zinafuatwa na kila mtu duniani.
Likwapi? ๐๐๐Swali nilishajibu huko juu Akashindwa kuendelea na discussion.
Kwamba hzo gari zimetoka wapi marekani au ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ huna reason ya maana upuuzi mtupuHizo gari hapo zinatumia maji?
Kwani nilidanganya when I said Safari Rally is the toughest Rally in the World Rally Championship Calender? You canโt compare safari rally with Dakar Rally cause hiyo ni disrespect to Safari Rally.Angalia ubishi wako usije kua tabia yako maana utapata tabu sana.
FuelingLikwapi? ๐๐๐
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ Jibu swali budaaSwali nilishajibu huko juu Akashindwa kuendelea na discussion.
Gari za participants Kwani za Kenya? Must you always be stupid?Kwamba hzo gari zimetoka wapi marekani au ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ huna reason ya maana upuuzi mtupu
So hizo gari zimepark hapo zinatumia Maji?
Wewe umeshindwa katana kitu CAF itafanyia Tanzania sasa umebaki tu kupiga kelele.๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ Jibu swali budaa
MTU katoka malaba anafanya service gani?? Mganda anakula chapati ya mama ntili 20bob na maharage 10bob, anaenda kulala guest ya 100bob a day alaf ndio hio unaleta 70m usd ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Unless iwe hesabu ya dukaniFueling
Accommodatatiion
Meals
Tourism
Car servicing
Etc
Sawa usijali, Safari Rally ni kubwa. Hakuna shidaKwani nilidanganya when I said Safari Rally is the toughest Rally in the World Rally Championship Calender? You canโt compare safari rally with Dakar Rally cause hiyo ni disrespect to Safari Rally.
Macho ya dunia nzima yako Tanzania Leo na Kesho hata wakenya wataangalia mechi kupitia Azam TV are u happy?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe umeshindwa katana kitu CAF itafanyia Tanzania sasa umebaki tu kupiga kelele.
Nimekuambia unionyeshe any European news outlet ikitangaza CAF match ukashindwa.Mtu mwenyewe akiona reaction za twitter zinazowekwa kuhusu Rally na CAF match za Dar unaona ni ipi inafutatiliwa kwa karibu na ipi ina interaction nyingi kwa social media.