ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
After ruto said 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 the same guy alichukua madaraka hatokopa, Yule Yule aliwadanganya anaileta treni za umeme
After ruto said 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 the same guy alichukua madaraka hatokopa, Yule Yule aliwadanganya anaileta treni za umeme
Jamaa wanaumia mno. Mungu awasaidie tu. 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/bedjosessien/status/1773597985219211760?s=20
Endelea kulia, I like to see your tears dropping.After ruto said 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 the same guy alichukua madaraka hatokopa, Yule Yule aliwadanganya anaileta treni za umeme
Na huyu ni mwandishi wao mkubwa Sana Yuko dar anafatilia mtanange 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/bedjosessien/status/1773414803911893360?t=CDEltcJLY9XbRuEsiyujcA&s=19
Wakati manafurahia mwandishi habari wa Kenya sisi tunapata free publicity kutoka kwa major car brands duniani
View: https://twitter.com/OfficialWRC/status/1773629030991843395?t=xwcVSGEDG4d1e7ZemfKMEQ&s=19
View: https://twitter.com/HMSGOfficial/status/1773622612070977688?t=BOEfBi2qSpkgMsRj_BJavw&s=19
In Africa seeing is believing, unaeza nionesha walau picha kidhaa zikionyesha wingi wa watu wakihudhuria mashindano labda.?
Kusema tu ukweli Ugandans have superior spending power compared to these our lazy southern neighbors.Waganda wanasema " Tugende Kenya" which means twende kenyaView attachment 2948142View attachment 2948143View attachment 2948144
Pesa nyingi kwenye hizi sports huwa zinatokana na media accreditations sales derived by commercials sasa ninyi mapesa yote hayo kama ya latest AFCON media revenues yametokana na nini?Wewe baki hapo ukipiga kelele as we wait for $70M to be injected into our economy.
View attachment 2948110
Facts waganda wamechangamka sana kuliko hawa ma ngedereKusema tu ukweli Ugandans have superior spending power compared to these our lazy southern neighbors.
Ugandans have always vybed with us easily si huskizana tu naturally because hawana wivuWaganda wanasema " Tugende Kenya" which means twende kenyaView attachment 2948142View attachment 2948143View attachment 2948144
Waganda ndio wamewaletea hizo dollar million 70? 😂😂😂😂Waganda wanasema " Tugende Kenya" which means twende kenyaView attachment 2948142View attachment 2948143View attachment 2948144
Must you be idiot?Pesa nyingi kwenye hizi sports huwa zinatokana na media accreditations sales derived by commercials sasa ninyi mapesa yote hayo kama ya latest AFCON media revenues yametokana na nini?
View attachment 2948157