Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazee wa kuidumaza TZ hawajambo wanakwambia time ya Organization of East Africa Community tulikua na 9%

images (17).jpeg
images (16).jpeg
images (15).jpeg
images (13).jpeg
images (14).jpeg
images (12).jpeg
images (11).jpeg
images (10).jpeg
images (9).jpeg
images (8).jpeg
images (7).jpeg
images (6).jpeg
images (5).jpeg
images (4).jpeg
images (3).jpeg
images (2).jpeg
 
Mimi nina uwezo wa kula hapa nikitaka na najua kuna wengu humu wana huo uwezo, hilo sio shaka ila nashangaa mbona huwa huambii wenzako wabongo humu wakituonyesha picha za mahoteli na ndege na vinginevyo, mbona huwa huwaambii wasipost tu kama hawakanyagi hapo? Uache unafiki.
Well sababu tunaweza kwenda simple as that, nyie huku kuna kubaguana kwingi.
 
Good point mzee. Ila Hapo moja unatupanga wewe.

1. Kwamba tulikua na 9% Share? Nchi ambayo that time ilikua na Influence kubwa Afrika, Global South (NAM) mpaka kupatia uhuru nchi za Southern Africa?
Broo, tunaongelea shirika la ndege la EAA. Hilo linahusikanaje na influence unayodhania mlikuwa nayo Kusini mwa Afrika? Kwamba mkipea nchi za Southern Africa uhuru shares zenu zinaongezeka ama unamaanisha nini? Reasoning ya upuzi kama hii naexpect itoke kwa wajinga kama Venus Star ama Toilet boy sio kwako.

Huyo ni Mkenya mmoja na sio Wakenya. Mkenya wa kawaida hana shughuli na yanayofanyika Tanzania. Kumbuka kwamba pia media zenu zinapenda kueneza chuki dhidi ya Kenya ndio maana Jamii Forums imechagua kutaja jina la huyo Mkenya na uraia wake wakati hao wengine hawajatajwa. La pili nikisoma kwa media zote kuu duniani hakuna penye huyo Mkenya ametajwa kama kiongozi wa hayo maandamano. Wanaopotosha ulimwengu ni nyinyi, sio sisi.

3. Kupotosha ukweli mzee kuanzia Mlima Kilimanjaro, Olduvai George, Wasanii wetu nani asiyejua wazee wa kusema kila kitu chetu kizuri ni chenu huko Ughaibuni?
Hakuna mahali Wakenya wamesema mlima kilimanjaro uko Kenya. Hakuna msanii wenu ambaye tumesema ni wetu. Hapo kwa Olduvai ni mtoto wa Raila Odinga aliyesema ipo Kenya kimakosa na akakikiri ilikuwa juu ya kutojua ila mmeikwamilia kama gundi. Mlima Kilimajaro unaonekana ukiwa Kenya kuanzia Nairobi Hadi Voi. Uko na views nzuri zaidi ukitazamwa ukiwa mbuga ya Amboseli. (Leo hii naenda zangu Amboseli, ukitaka naweza kupigia picha uone.) Picha nyingi za huo mlima zimepigwa Amboseli na zimepigwa na Watalii wasio raia wa Kenya. Hao Watalii walisambaza hizo picha huko kwao na wakasema zimepigwa Amboseli Kenya (Which is true). Kutokana na hilo, wengi walijua Mlima Kilimanjaro uko Kenya ila sio kwa sababu Wakenya wamepotosha. Hapo kwa wasanii ndio kicheko zaidi. Hivi msanii mgani wa Tanzania tuliyesema ni wetu? Kwani sisi hatuna Wasanii wetu tuseme wenu ni wetu? Acha kunifurahisha bro. 🤣 🤣


4. Shida zenu batter zimejaa uongo mwingi na sifa za kiwaki, mtu kama Teargas unaona anatumia akili hapo kusema eti hatuwezi afford drone?
Uongo gani? Nani anayesema humu nchi yao ina GDP ya $300B wakati ni $84 Billion? Nani humu anasema hatuna uwezo wa kununua gari mpya wakati Kenya ndio the biggest buyers of new cars in East Africa? Nani humu anasema hapati msaada wakatio anapata msaada kila mwaka? Shida yenu sisi tukileta evidence mnasema ni cooked wakati nyinyi mnasema mambo bila hata evidence.

Banter zenu at least zireflect hali halisi sio uongo mwingi,.mfano banter za KDF, inakuaje na adjectives nyingi wakati nji haikaliki huko baringo na mandela.
Hizi za kusema nyinyi ndio nchi tajiri duniani ndio zinareflect hali halisi? Hizi za kusema mnatulisha ndio zinareflect hali halisi? Hizi za kusema bandari ya Dar inahandle cargo nyingi kuliko mombasa ndio hali halisi? Hizi za kusema electricity connection yenu iko juu ya yetu ndio hali halisi? Kama kuna watu wanoishi kwa delusions hii Africa ni nyinyi bro.🤣🤣
 
Well sababu tunaweza kwenda simple as that, nyie huku kuna kubaguana kwingi.
Broo, kuenda hoteli ya kifahari na kubaguana wapi na wapi? Ukiwa na pesa utaingia hoteli yoyote ya kifahari. Unaona jinsi banter zenu zilivyojaa chuki ndani yake?

La pili unasema nyinyi wote mnaweza enda 5* hotel? Alafu bado unasema banter zenu zinaonyesha hali halisi ilivyo? Huoni kama unajikanganya? Kama nchi tajiri kama Marekani sio wote wanaoweza kuingia 5* hotel wakakula sasa fukara kama Tanzania wanaweza? Huoni aibu kusema haya after kuniambia eti banter zenu zinaonyesha hali halisia? Kenya kuna wapandaji ndege wengi kuliko Tanzania mara nyingi yet most Kenyans can't afford to use air transport halafu hapo Tanzania kwenye mnacheza catch up unaniambia wote wana uwezo? Wacha unafiki bro.
 
Good point mzee. Ila Hapo moja unatupanga wewe.

1. Kwamba tulikua na 9% Share? Nchi ambayo that time ilikua na Influence kubwa Afrika, Global South (NAM) mpaka kupatia uhuru nchi za Southern Africa?

2. Hapo mbili napo
View attachment 2946763
View attachment 2946760

3. Kupotosha ukweli mzee kuanzia Mlima Kilimanjaro, Olduvai George, Wasanii wetu nani asiyejua wazee wa kusema kila kitu chetu kizuri ni chenu huko Ughaibuni?

4. Shida zenu batter zimejaa uongo mwingi na sifa za kiwaki, mtu kama Teargas unaona anatumia akili hapo kusema eti hatuwezi afford drone?

Banter zenu at least zireflect hali halisi sio uongo mwingi,.mfano banter za KDF, inakuaje na adjectives nyingi wakati nji haikaliki huko baringo na mandela.
Bomba la mafuta liliwauma Sana Kias kwamba serekali yao ikawatuma eti washawishi Bomba lisijengwe kwasababu wamejawa na Wivu roho mbaya, haya kiko wapi mradi unajengwa na hautasimama na umeajiri watanzania wengi na investment kubwa ya bomba itapita Tanzania na Tanzania itanufaika sana sana kwa mradi huu over 3.5b usd imewauma sana sana 😂😂😂
 
Opening and final games will be played at Talanta Stadium. Nyinyi you will only be hosting training sessions.
Yani Tanzania iliofungua michuano mikubwa CAF na yenye hamasa ya mpira uizidi wewe kuendesha michuano ya Afcon??
Kwanza jiulize kwanini CAF ilikubali kuhost Afcon East Africa??
Jibu ni Tanzania kwasababu kadhaa;
1)Ligi yetu kuwa bora tano bora Afrika.
2)Kuna viwanja vingi sana Tanzania kwaajili ya training na vizuri ambavyo Kenya hamfikii.
3)Kuwepo kwa uwanja bora wa Benjamin Mkapa Stadium na Amaan stadium.
4)Uamko wa mpira uliokuwepo Tanzania,Tanzania inasemekana kuwa ni taifa lenye ushabiki mkubwa wa mpira hapa Afrika tena ikiingia list ya tano bora.
Hata isipocheza timu yao basi watajazana uwanjani.
Je Kenya mna hiki kitu???
CAF sio mafala wao kukubali Afcon iwe East Afrika.
Kama Tanzania isingekuwepo mngepiga kelele Afcon isingeletwa ng'oo.
 
Back
Top Bottom