Toilet boy sisi tuko busy na international event ambayo inafanyika kenya wewe unabweka na CAF. WRC Ina ripple effect kubwa kwenye uchumi wa Naivasha na kenya ambayo pengine unaweza linganisha na AFCON finals pekee. Magical Kenya nao pia wamepata kazi rahisi manake hii ni free advertisement ambayo Ina shape positive image ya Nchi yetu ughaibuni
View: https://twitter.com/alfredarapketer/status/1773642077466714277?t=RIb6BDW6z8amReQwSl1GeQ&s=19
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya nambie Kenya inaingiza bei gani kwenye hio upuuzi wenu na mm nikupe positive kubwa Sana ya kiuchumi kwenye hii mechi mbili CAF champion
Mamelody pekee wamekuja na mashabiki zaidi ya 400 na hao Sisi tunawatambua kama tourists kwasababu watachukua hoteli, watachukua usafiri, wanataka kwenda kutembea, watalipa Kula,watalipa kuingilia uwanjani, etc
Hapa bado wageni kutoka CAF na viongozi sijakwambia ni wangap
Al ahly na wenyewe wamekuja na mashabiki zao inasemekana ni zaidi ya 250 mpaka 300 watachukua hoteli, watalipa bills za Kula, viingilio uwanjani, usafiri wakuwapeleka anywhere
Hao ni watalii watazamaji mpira na mashabiki zaidi ya 700😅😅😅
Haya tuje kwa team kila team ina watu zaidi ya 70 ( bench la fundi, wachezaji na viongozi) jumla ni watalii 140 ambao watalala kwenye hoteli za gharama, watakula, watatumia usafiri wetu etc
Rwanda wamekuja mashabiki wa arsenal zaidi ya 500 kuja kupata burudani nambie watatumia kiasi gani cha pesa 😅😅👇👇👇
View: https://twitter.com/PKishamba/status/1773365078747664894?t=fsvH8bQS_NGUHvCJ4u4Hgw&s=19
Bado waandishi wa habari na wapiga picha wao kutoka Africa nzima na dunia nzima na, hata wakenya wamekuja wengi wakutosha
View: https://twitter.com/bedjosessien/status/1773349061992558946?t=mibHNrzCdZWwfNvkoe53MQ&s=19