buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 3,220
- 6,551
Well sababu tunaweza kwenda simple as that, nyie huku kuna kubaguana kwingi.Mimi nina uwezo wa kula hapa nikitaka na najua kuna wengu humu wana huo uwezo, hilo sio shaka ila nashangaa mbona huwa huambii wenzako wabongo humu wakituonyesha picha za mahoteli na ndege na vinginevyo, mbona huwa huwaambii wasipost tu kama hawakanyagi hapo? Uache unafiki.