IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Cap! I knew i could lose summa y’all slow folks who got nunna that hood slang thang goin on…Si afadhali tu utumie lugha yako kuliko kujifanya unajua sana kizungu cha kukariri?😎😎😁
Wahenga walisema muungwana akivuliwa nguo huchutama. Naona wewe nyang'au umeamua kusimama ingawa upo uchi ha ha ha😎Cap! I knew i could lose summa y’all slow folks who got nunna that hood slang thang goin on…
Huyo Magonjwa Matapiko ananikumbusha jamaa Fulani alikuwa humu alikuwa anaitwa Askari Kanzu. Fala haikuwa na content. Hungeipata imeandika more than one sentence halafu hiyo sentence ni ufala tu.Cap! I knew i could lose summa y’all slow folks who got nunna that hood slang thang goin on…
AiseeNo slums in Dar but unplanned settlements.
Unataka nani akuamini zaidi ya nyang'au wenzako?😎
Own with less than 40 percent?Najua ni ignorance uko nayo kwa wingi
Hio ndio maana hujaleta Precision air. Ulijua utachapwa viboko. Shida hukufanya research kujua kwamba Kenyans own your Tanzanian registered aircraft and airline companies 😂
Sit and learn
View attachment 2947495
Wewe nyang'au fala tu: hiyo haina ubishi. Mambo yako ya 'daily dose' yameishia wapi?😎Huyo Magonjwa Matapiko ananikumbusha jamaa Fulani alikuwa humu alikuwa anaitwa Askari Kanzu. Fala haikuwa na content. Hungeipata imeandika more than one sentence halafu hiyo sentence ni ufala tu.
Muone huyu fala analeta picha za kipindi cha Kikwete.Finals za AFCON haziwezi kufanyiwa hapa kwa hii slum. 😂 😂 😂
![]()
Eta picha ya kipindi cha Suluhu tuone 😂Muone huyu fala analeta picha za kipindi cha Kikwete.
Chang'ombe hakuna nyumba za hivyo uwanja wa Taifa umezungukwa na ofisi za serikali na lounges hakuna nyumba za kuishi eneo hilo.
MUTAKE MUSITAKE CAF imeridhia Afcon kwasababu ya huo uwanja na fainali mtake msitake zitakua Tanzania.
Mkapa stadium ina historia ya michuano ya CAF.
Unaweza nitajia ninyi mliwahi host mashindano yapi ya CAF??
Muachage upang'ang'a.L
Eta picha ya kipindi cha Suluhu tuone 😂
Mbona KLM owns 7.8% ya KQ na mnasema KQ is owned by KLM?Own with less than 40 percent?
UongoMbona KLM owns 7.8% ya KQ na mnasema KQ is owned by KLM?
sema "loss minting KQ", so mnalipiza? 😆 😆 👆👆Mbona KLM owns 7.8% ya KQ na mnasema KQ is owned by KLM?