Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kwenye board of governors kuna kuanzia 3 - 5 kuna kina nani kama board members??
Embu tusomee tusikie.
Elimu yako ndogo hujui kuwa board member haimaanishi una mamlaka au unamiliki Taasisi! Serikali yako ni Board member kwenye Taasisi nyingi kama KCMC na haizimiliki kimamlaka Bali Baraza la Maaskofu linabaki na litabaki kimamlaka na kiumiliki!
 
Elimu yako ndogo hujui kuwa board member haimaanishi una mamlaka au unamiliki Taasisi! Serikali yako ni Board member kwenye Taasisi nyingi na haizimiliki komamlaka Bali Baraza la Maaskofu litabaki kimamlaka na kiumiliki!
Shida nini mkuu naona mnatupiana madongo.

Mbona me naona serikali ndio inavipa nguvu kwa kuweka fungu.
 
1971 hospital ilichukuliwa na serekali na baadae wakarudishiwa kanisa na hili nikuonesha kua serekali inamkono kwenye hospital hio 🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 2936692
Na kwaa taarifa yako hawakuongeza chochote cha maana hata mchakato wa kuanzisha chuo uliendelea baada tu ya kurudisha hospitali ya watu kwa wenyewe Baraza la Maaskofu!
 
Shida nini mkuu naona mnatupiana madongo.

Mbona me naona serikali ndio inavipa nguvu kwa kuweka fungu.
Tatizo ni kuleta upuuzi wa ku-claim eti ni za serikali! Wenzio hawaoni sababu ya serikali kuweka hilo fungu! Hizi hospitali ni za Taasisi za kidini na ni favor kwa serikali maana zinahudumia wote na kwa gharama inayowezekana na wananchi!

Zingeweza kuwa kama Aga Khan! Sasa huo utaratibu usifanye wapuuzi ku-claim ati ni za serikali au ziko chini ya mamlaka ya kiundeshaji ya serikali! Kuwa board member ni ushirikishaji katika huko kulipia uendeshaji ila si hospitali za serkali zile!
 
Naona Bashe kaamua kunyoosha maelezo kuhusiana na ule msaada shobo wa chakula cha Americans 🤣🤣🤣👇
View: https://www.instagram.com/reel/C4lgCxdLvds/?igsh=MWU2eXVjNnpmY3VsNQ==. Haya nyie wanuka mavi njooni huku mbwa nyie nairobae mwaiofhawaii NairobiWalker mlikua mnashadadia wanuka nnya nyie 😂😂

Tanzania msaada wa chakula umezua taharuki lkn kenya wangechukua alafu wangefunika kombe mwanaharamu apite au wangeomba mwingine, this is the difference between Tanzania and other African countries.
 
Alafu nina swali ivi hawa wakunya washawahi paruana humu? Maana sie tunaparuana tukipishana mawazo. At end of the day likes zinatembea kwa mada inayotujoin wote, na makonzi yanaendelea kwa ndugu zetu wa north.

Sometimes inaleta picha kama hawa washenzi wana ID zaidi ya moja no wonder wakasema wako wanne.
Hayo masenge humu yana sapotiana ila kule twitter yanapigana spana sio kidogo, kuna mkenya mmoja tu alikuwa mkweli anaitwa @Tonny254 huyo alikuwa mkweli na alikuwa anaweka wazi ushenzi unaoendelea kule Kenya.
 
👇👇👇👇👇👇 Ulipiga kipindi cha ujenzi
Kwamba huu barabara unajengwa BRT na ndio imekamilika ndio the most stupid hoax mnaeza ku make up 😂😂
Waongo sana nyie..
IMG_0258.jpeg
IMG_0259.jpeg
IMG_0260.jpeg
IMG_0261.jpeg
IMG_0262.jpeg
 
Back
Top Bottom