Naona kuna mjadala mrefu kuhusu KCMC.
KCMC ni private hospital ambayo Evangelical Lutheran Church (ELCT) of Tanzania wana makubaliano ya
Memorandum of Understating with the Government of Tanzania through the Ministry of health and Social Welfare (MoHSW).
Hatujui wamekubaliana vip, waweza kuta wameeleza baada ya miaka 50, hospital itabinafsishwa... au ELCT waomba serikali iwasupport ila baada ya mda watalipa madeni yote.. yan investment yote serikali iliyoinvest kwa budgets zilizopitishwa na Board yao, ELCT watazirudisha.. so kiufup KCMC ni private hospital ambayo serikali inasupport.. lkn kuna namna kutokana na investment au support baadae baada ya mda, hii KCMC itamilikiwa na upande mmoja btn ELCL au serikali kulingana walivyokubaliana kwenye MOU.
Investment ya serikali maskin kwenye hii hospital sio wa bure hata kidogo
View attachment 2936921
Kuhusu board members. Wapo 9.
Most times, board of governors (BoG) ndo haohao wa trustees (BoT)
- 4 kutoka serikalili
- 5 kutoka kanisani
Hawa wanne wa serikali wapo kimkakati, wote ni wateuliwa wa Rais, hawapo burebure,
hasahasa huyo wa kutoka wizara ya fedha
View attachment 2936920