Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawana 3:5 unakuwaje na mamlaka! Mamkaka ni tofauti na ushauri na uangslizi! Hivi vitu navijua na ndomaana nasisitiza!
Hata maana ya mamlaka hujui.
Ninapotoa uamuzi juu ya kitu fulani na ninapokua na mkono wa uendeshaji juu ya kitu ni sawa na mamlaka.
Rudi shule ukasome.
Na mamlaka yanatofautiana kulingana na utendaji.
Kisa CEO ndio top inamaana Manager hana mamlaka ofisini??
Jibu no anayo mamlaka kulingana na cheo na mgawanyo wake wa majukumu.
Halafu unajiita msomi wewe jinga kabisa.
Screenshot_2024-03-17-16-47-16-04_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Hata maana ya mamlaka hujui.
Ninapotoa uamuzi juu ya kitu fulani na ninapokua na mkono wa uendeshaji juu ya kitu ni sawa na mamlaka.
Rudi shule ukasome.
Na mamlaka yanatofautiana kulingana na utendaji.
Kisa CEO ndio top inamaana Manager hana mamlaka ofisini??
Jibu no anayo mamlaka kulingana na cheo na mgawanyo wake wa majukumu.
Halafu unajiita msomi wewe jinga kabisa.View attachment 2937309
Hawawezi kutoa order kwa Taasisi isiyo Yao! Order iliyopo kwa KCMC ni ziko applied kwa hospitali zote private zilizopo Tanzania! Najua unachotafuta toa kwenye kichwa chako! Hata masmuzi na wakina Melinda Gates hufanywa na GSF! Hivi vitu navifahamu na kipindi serikali ilikuwa na mamlaka hospitali ile ilikufa!


IMG_0115.png
 
Hawana ratio ya 3:5 unakuwaje na mamlaka! Mamkaka ni tofauti na ushauri na uangslizi! Hivi vitu navijua na ndomaana nasisitiza!

Makubaliano yote kama partnerships na donors zinsfanywa na uongozi wa baraza la Maaskofu!

View attachment 2937312
Hii article ulioleta haisadifu kama KCMC inatoa maamuzi yenyewe pasi na kushirikisha serikali.
Inaeleza kuhusu research institute.
Hata kuoanisha article huwezi pia!!?
Kama maamuzi wanafanya wenyewe basi serikali isilipe mishahara na kutoa ruzuku.

OVA
 
Hawawezi kutoa order kwa Taasisi isiyo Yao! Order iliyopo kwa KCMC ni ziko applied kwa hospitali zote private zilizopo Tanzania! Najua unachotafuta toa kwenye kichwa chako! Hata masmuzi na wakina Melinda Gates hufanywa na GSF! Hivi vitu navifahamu na kipindi serikali ilikuwa na mamlaka hospitali lie ilikufa!
Una kichwa kigumu sana aisee.
Unazungumzia mamlaka au umiliki??
Kajifunze neno mamlaka kesha ndio urudi.
Naona niache kubishana na wewe.
 
Hii article ulioleta haisadifu kama KCMC inatoa maamuzi yenyewe pasi na kushirikisha serikali.
Inaeleza kuhusu research institute.
Hata kuoanisha article huwezi pia!!?
Kama maamuzi wanafanya wenyewe basi serikali isilipe mishahara na kutoa ruzuku.

OVA
Ndo ilivyo Saša na kwa taarifa yako hawalipi mishaara yote! Na kipindi cha usimamizi wa serikali 1971-1993 chini ya Mjamaa Nyerere Hamna cha maana kilifanyika! Hata mpango wa medical university ulikufa!
 
Una kichwa kigumu sana aisee.
Unazungumzia mamlaka au umiliki??
Kajifunze neno mamlaka kesha ndio urudi.
Naona niache kubishana na wewe.
Mimi nakupa mpaka evidence screenshots ya governance structures bado unabisha! Saša Nani mpumbavu? Usilazimishe unachoamini! Hospitali ile si ya serikali! Na uendeshaji wake wa kimamlaka ulichelewesha uanzishaji wa chuo kwa miaka zaidi ya ishirini!
 
Akatibiwa Aga khan private hospital.
Do Kenya own Aga khan?
Private kama KCMC 😂 😂 😂 Nilikuambia unipatie public hospital tatu bongoslum zile zinafanya brain or spinal surgery apart from Muhimbili na Mkapa ukashindwa.
 
Back
Top Bottom