Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaonekana wewe ndio unajua kuliko serikali. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Sawa Waziri wa Afya aka Toilet Boy aka Mwarabu Bandia.

View attachment 2936689
Huna akili wewe hospital zote za nchi hii ni lazma zisimamiwe na wizara na lazma ziwe na vibali kutoka wizara na lazma itambulike na wizara na ni lazma zikidhi vigezo na viwango vilivyowekwa 🀣🀣🀣🀣🀣

Tanzania sio kama Kenya madaktari wanalala wanaamka wanawaza kigoma kufanya KAZI 😁😁

View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1768705990424150183?t=uUuEgbyMAJoXWDICaZEgnA&s=19
 
Huna akili wewe hospital zote za nchi hii ni lazma zisimamiwe na wizara na lazma ziwe na vibali kutoka wizara na lazma itambulike na wizara na ni lazma zikidhi vigezo na viwango vilivyowekwa 🀣🀣🀣🀣🀣

Tanzania sio kama Kenya madaktari wanalala wanaamka wanawaza kigoma kufanya KAZI 😁😁
Serikali imeandika ni Private, stop forcing issues, kojoa ulale. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Serikali imeandika ni Private, stop forcing issues, kojoa ulale. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Sina muda wakubishana na mwehu kama ww sijawah kuona hospital private inapewa pesa na serekali za ruzuku 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Serikali imeandika ni Private, stop forcing issues, kojoa ulale. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1971 hospital ilichukuliwa na serekali na baadae wakarudishiwa kanisa na hili nikuonesha kua serekali inamkono kwenye hospital hio πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Screenshots_2024-03-16-22-39-17.png
 
Huoni member government hapo 😁😁😁
Yani sijui hata unabishana kitu gani mzee huwezi kusema Airtel inamilikiwa na Airtel kwa asilimia 100 wakat serekali ina share 49%

Ndio maana nikakwambia sijakataa inamilikiwa na kanisa lakini haibadilishi maana kua serekali sia mbia kwenye hospital hio kama ilivo bugando same issue

Ndio maana zimekua ni referral hospitals chini ya usimamizi wa serekali hata kwenye budget ya wizara hospital hzo zipo zinaangaliwa na serekali

Simple and clear 🀣🀣🀣🀣🀣
Haya leta percentage ya ownership ya serikali!
 
These shoplifters are there just for pictures. There are nothing in real business.

Look at this monkey cowering in fear of Al Shabab.
View attachment 2936681
Look at these primates lying down.
View attachment 2936685

View attachment 2936690
Hili dude picha ya mwisho linapiga kweli? na kwa hili Pozi anaweza pindua meza kweli kama kapitiwa karibu, si atakutwa bado anashindwa hata kunyanyua hilo Boot na tako , alivyokaa kujigeuza tu shida πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom