Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inachekesha, yaani wanachukulia Raisi kama mgonjwa mdogo, life threatening situation Raisi awe nchi jirani?

Si nchi inaingia kwenye hali ya hatari, sense of security ya nchi inapotea.

Hao wapuuzi wanachukulia kirahisi rahisi.
Kunyaland haina order ni ghetto state ndio maana mawazo yao yapo hivyo, Rais ni taasisi kubwa sana eti wanasema alikua airlifted to Kunyaland kama hivi 😂😂😂

images (50).jpeg
 
Hata hivyo SSH ni muungwana sana vinginevyo watu walitakiwa waone Kila aina ya rangi.
Kuna mchezo ulikuwa unachezwa na watu kadhaa (Jina).
Kwanza walitaka asiwe mwenyeliti wa chama.
Walitaka uchaguzi mwenyekiti ufanyike mwezi wa kumi. Ili chama kibaki bila mwenyekiti kwa muda mrefu wafanye yao. Au walitaka uchaguzi ufanyike online kwakuwa kulikuwa na Corona.

Mabeyo na Polepole walisimama upande wa Samia. Wahuni wakashindwa.
 
Nimeshawai kuja. kwanza pale kariakoo
Nilishangaa kuona barabara kama haya Kariakoo yani town. Alafu watu Dar ni wengi ajabu, traffic is crazy, but I enjoyed my time. It’s a nice coastal city
View attachment 2936968View attachment 2936970View attachment 2936989

View attachment 2936991View attachment 2936993View attachment 2936995View attachment 2936997
Tunashukuru mkuu kwa kuja, hapo panaonekana kama Machinga Complex vile, kulikua na ujenzi wa BRT ya mbagala inayounganisha magomeni, baadhi ya barabara zilikwatuliwa.

Still toka mzee asepe hawa wajinga wamezidi delays wanafumua barabara alafu wanaacha.
 
Back
Top Bottom