Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kanda ya ziwa hospitali ya Bugando ndio hospital ya kanda, ni hospital ambayo serikali ina ubia ndani yake, huwezi ukaiweka sawa like other private hospitals. Unazani serikali ni wajinga kiasi cha kuiruhu private hospital iwe zonal hospital bila kufanya kitu!!?
Umemaliza mjadala mkuu.
Hili ashaelezwa sana ila hawezi lielewa.
Anaambiwa vingine yeye anashikilia umiliki.
Watu wanatizama mamlaka,serikali ina mamlaka kote Bugando na KCMC.
Mbona haijawa na mamlaka hospital zingine??
Hizo taasisi zipo kama anarchy leader hawafanyi kitu wakisubiri serikali ipange bajeti kuhusu wa.
Still mtu analeta ubishani wa kipumbavu.
 
Uko sahihi mkuu, the same case kwa Bugando, serikali haiwezi kuiruhusu hospitali ambayo ni 100% privately owned kuwa zonal hospital
Hiki ndio kitu jamaa ameshindwa kuelewa hadi sasa.
Au jamaa atakua hajui historia ya ubia ya ukatoliki na serikali toka Taifa lipate uhuru.
Labda tumpe homework akatafute hiko kitu.
 
What authority? Hiyo board membership ni 4 ETC to 3 GOT! Management ya ile hospitali ni tofauti kabisa na government owned!
Naona kuna mjadala mrefu kuhusu KCMC.
KCMC ni private hospital ambayo Evangelical Lutheran Church (ELCT) of Tanzania wana makubaliano ya Memorandum of Understating with the Government of Tanzania through the Ministry of health and Social Welfare (MoHSW).

Hatujui wamekubaliana vip, waweza kuta wameeleza baada ya miaka 50, hospital itabinafsishwa... au ELCT waomba serikali iwasupport ila baada ya mda watalipa madeni yote.. yan investment yote serikali iliyoinvest kwa budgets zilizopitishwa na Board yao, ELCT watazirudisha.. so kiufup KCMC ni private hospital ambayo serikali inasupport.. lkn kuna namna kutokana na investment au support baadae baada ya mda, hii KCMC itamilikiwa na upande mmoja btn ELCL au serikali kulingana walivyokubaliana kwenye MOU.
Investment ya serikali maskin kwenye hii hospital sio wa bure hata kidogo
MOU_source-6dcbdc0897664f2ca0b866d6b2a06f26.jpg

Kuhusu board members. Wapo 9.
Most times, board of governors (BoG) ndo haohao wa trustees (BoT)
  • 4 kutoka serikalili
  • 5 kutoka kanisani
Hawa wanne wa serikali wapo kimkakati, wote ni wateuliwa wa Rais, hawapo burebure, hasahasa huyo wa kutoka wizara ya fedha
Screenshot_20240317-094520_Chrome.jpg
 
Mnajifanya hamuoni hii issue ya kuabiri daradara through the window.....lol.in Tanzania unaweza hata simama safari ya 800 kms......now I invite the stupid excuses
 
Mnajifanya hamuoni hii issue ya kuabiri daradara through the window.....lol.in Tanzania unaweza hata simama safari ya 800 kms......now I invite the stupid excuses
Ni chaguo lako kusimama, ukitaka kukaa mbona unafata stand? Shida nini?

Ushawahi kuja hapa Dar ukaona zinavyooperate?
 
Alafu nina swali ivi hawa wakunya washawahi paruana humu? Maana sie tunaparuana tukipishana mawazo. At end of the day likes zinatembea kwa mada inayotujoin wote, na makonzi yanaendelea kwa ndugu zetu wa north.

Sometimes inaleta picha kama hawa washenzi wana ID zaidi ya moja no wonder wakasema wako wanne.
 
Mnajifanya hamuoni hii issue ya kuabiri daradara through the window.....lol.in Tanzania unaweza hata simama safari ya 800 kms......now I invite the stupid excuses
Hata Mwendokasi ukitaka siti ni changuo lako kuna zinapoanzia unapata siti.

Alafu tuondolee upumbavu, 800kms unazijua?

Hizo Kms zipo kwa league ya Mabasi, vipi unataka mabasi?
 
Mnajifanya hamuoni hii issue ya kuabiri daradara through the window.....lol.in Tanzania unaweza hata simama safari ya 800 kms......now I invite the stupid excuses
Kitu usichokijua we mnuka mavi Tz Safar ya DAR-Moro ambayo nadhani ndio safari fupi Zaidi watu wanapanda buses za viwango unlike you poor people of kunyan republic mnaosafiri na vipanya. Sisi sio nyinyi msifosi tufanane
 
Mpumbavu sana, wanaexaggerate kila kitu wanadhani sisi ni wajinga.

Huku bongo #HAINAKUFELI

Huo msaada wa chakula ungeenda kunyans, Ungepokelewa nje ya mlango wa Ikulu Full Printed Banner kwa nyuma.

Alafu wananchi comments zingekua, "Viongozi watajigawia"

Wapumbavu sana.
 
Huo msaada, ungekuja hivi hivi ungepata upinzani zaidi, why mchele upo bongo utoke huko, ndio wakasema eti Virutubisho kuexcuse na mchele wetu ila ndio hivyo impressions ya USA mbovu, vipi mchele wa Kiyela, uyole vipi?

Waupeleke North Kenya, kwanza ni Kenya ni wake zao.
 
Back
Top Bottom