Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usinambie serekali haina ushirika KCMC 😂
How can it be private bado kuna ruzuku za serekali zinaenda hapo na bado kuna ushirika wa serekali?? How can private hospital ikawa na ushirika na serekali tena mpaka kwenye budget kuu ya wizara na yenyewe ipo

Mm au ww Nani asiejua ???😂😂😂😂
View attachment 2936558
Huyo achana naye mkuu.
Atakupasua kichwa aisee hii mada ife mkuu tutizame pengine.
 
Hamna ushirikiano wowote zaidi ya wivu na akili ya Ujamaa! KCMC na Bugando si initiative ya Nyerere Peleka Upumbavu! Serikali ya Nyerere haikuweka hata cent zaidi ya kungoja zijengwe zifunguliwe halafu azitaifishe! Usifikiri sie Wapumbavu kutojua ukweli halisi!
Nyerere alinyang'anya shule na hospitali za taasisi za madhehebu yote, tena wakatoliki ndiyo walikuwa na shule nyingi, sasa wivu unatoka wapi?

Kwa Dar, Shule za serikali zilikuwa ni Azania boys na Jangwani girls tuu baadae wakajenga Kibasila (Co edu), sasa ulitaka watoto wa enzi hizo wasome wapi? Kwa sekondari, Dar alitaifisha Aga Khan Boys (Tambaza), Aga Khan Girls (Zanaki), Dar Girls chini ya dhehebu la Lohana (Kisutu girls sec) na St Joseph (Forodhani ambayo imerudishwa kanisani). Tanzania imenufaika sana na ujamaa kuliko hasara iliyoipata.
 
Hio project yenu ilianza Geza Ulole akiwa kijana mdogo na hadi wa leo hamjawai maliza. 😂 😂 😂

Affordable housing zote under construction in Kenya zitaisha kabla mumalize hio project yenu.

Image
Ati Samia Housing Ilianza Geza akiwa kwa diapers?….🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣… Leo Umenichekesha sana..
 
Kwani ni lazima bwawa Hilo lingejengwa kupata umeme? Hakuna Cha uthubutu,too expensive than reality.

Mimi ningekuwa Rais nisingejenga Hilo bwawa ningefanya option nyingine kabisaa.

Mwisho Samia ndio amefanya kweli,mambo ya uthubutu kwenye bwawa alianzisha Nyerere na yule mhandisi wa Kijerumani bwana Stiglerz, wengine ni uendelezaji tuu akiwemo Magufuli.

View: https://www.instagram.com/p/C4jAFNZMRDp/?igsh=cWpkNTkwcXIweXRv

Mbona unajikanyaga kanyaga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenya posted a trade surplus against Tanzania. There was a time in 2021/2022 when Tanzania posted trade surplus against Kenya and the entire Jamii Forum was full of noise about that trade surplus against Kenya.

That was the first and the last trade surplus Tanzania have ever got against Kenya.
We warned them it was Covid related event and the markets would rectify the course eventually … wakasema ati GDP Yao ni $300 billion…. We just stopped reasoning with them… Bongolala is a condition with no cure…🤣🤣
 
Back
Top Bottom