Wacha tuongezee nyama ili wajue hiyo hospitali imetokea wapi.Hio sio KAZI yangu ila navojua mm serekali ina ubia kwenye hospital hio na 1971 ilichukua hio hospital na baadae wakarudishiwa kanisa ila still bado serekali inamkono wake na pia bado inatazamwa na serekali na inapangiwa budget na wizara
Ingekua ina full private ownership isingepewa ruzuku kila mwezi ya kuiendesha toka wizara ya afya takriban 1 billion tzsh na serikali isingekua inalipa mishahara wafanyakazi wa KCMC.
Mbona hilo halifanyika private hospitals zingine za huko Kilimanjaro??