Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who cares about what is written? Bitter facts are, your security organs are next to toilet.
Wamesema they killed each other na hii ni matatizo ya professionalism, FOOL! 😂
Recce Squad after eliminating Al Shaabab at Dusit D2.

1710619267950.png
 
1971 hospital ilichukuliwa na serekali na baadae wakarudishiwa kanisa na hili nikuonesha kua serekali inamkono kwenye hospital hio 🤣🤣🤣👇👇👇
View attachment 2936692
Asante sana for this insightful information. Yani serikali yenu ni bure kabisa, walitake over hospitali hawakujenga. 😂 😂 😂 Kumbe unajua what happened in 1992 hapo umejipiga own goal. Au huelewi kingereza.
 
Hio sio KAZI yangu ila navojua mm serekali ina ubia kwenye hospital hio na 1971 ilichukua hio hospital na baadae wakarudishiwa kanisa ila still bado serekali inamkono wake na pia bado inatazamwa na serekali na inapangiwa budget na wizara
Hamna ubia as ownership kuna ubia kwenye ku-support operations kumbuka inahudumia watu zaidi ya 11 mln wa ile zone! Na kwa serikali kui-support ndo maana gharama zake ni kama government hospitals! Ukiskia hospital inaitwa saint flani au Islamic au Christian haiwezi kuwa ya serikali!
 
DCI Anti-Terror Police Unit (ATPU)

1710619810087-png.2936705

1710619921747.png

1710619975739.png
 

Attachments

  • 1710619810087.png
    1710619810087.png
    343.6 KB · Views: 11
Asante sana for this insightful information. Yani serikali yenu ni bure kabisa, walitake over hospitali hawakujenga. 😂 😂 😂 Kumbe unajua what happened in 1992 hapo umejipiga own goal. Au huelewi kingereza.
Najaribu kukuonesha kua bado serekali inaubia mkubwa na hio hospital na ndio maana hata kwenye budget ya wizara hio hopital IPO SASA ondoa mawazo kudanganya watu kua serekali haihusiki kwenye hospital hio ondoa hio uchafu🤣
 
Hakuna MTU anaongelea udini mzee usipende kupandikiza chuki kwenye kila Jambo wakat mwengine grow up Acha kua kubwa jinga, Nani anaongelea udini hapa au tunaongelea uhalisia wajambo
una Hiyo tabia ya kwann kwa vile wanatoa mishahara kwa baadhi ya madaktari basi lazma iwe ya serikali? kitu kimeandikwa Christian medical center Ila unabisha! Yani serikali ijenge center iite jina la Taasisi ya kidini? Nani kubwa jinga Kati ya Mimi na wewe?
 
Huoni member government hapo 😁😁😁
Yani sijui hata unabishana kitu gani mzee huwezi kusema Airtel inamilikiwa na Airtel kwa asilimia 100 wakat serekali ina share 49%

Ndio maana nikakwambia sijakataa inamilikiwa na kanisa lakini haibadilishi maana kua serekali sia mbia kwenye hospital hio kama ilivo bugando same issue

Ndio maana zimekua ni referral hospitals chini ya usimamizi wa serekali hata kwenye budget ya wizara hospital hzo zipo zinaangaliwa na serekali

Simple and clear 🤣🤣🤣🤣🤣
Achana nae huyo much know.
 
Back
Top Bottom