Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dom
20240312_163157.png
 
Naona umenitafuta jirani 😎😎😎Nairobi huwa tunakuja kwa kulazimishwa na ni sababu za kikazi siwez acha kwenda mwanza kula sangara na sato nije kula chapo Nai 😎 and talking about madem wenu bongo tuna pisi za uhakika 🤓
Tuki post madem zetu humu na wake zetu mtakimbia 😎
Na kwa taarifa yako niko mbali hukoooo…. Nakula bata acha nikuekee na tu photos 😎maana nyie hodari wa kupinga kila kitu
wengine tuki post mambo yetu binafsi humu ndani mtakimbia tena acha tuwa enjoy tu 😎

View attachment 2932702View attachment 2932703View attachment 2932704View attachment 2932705View attachment 2932706View attachment 2932707
Watakuja kukuambia unavaa jeans inayobana juu wamezoea kuvaa kama wazee. "Gashagua style" 😂😂😂
 
Serious Hata Kama unamchukia mtu si kihovyo! Makamba alikuwa speechwriter wa Kikwete! Nina uhakika wewe huwezi kuandika kurasa kwa Kiingereza bila kukosea Kama mwendazake na PHD ya mchongo ya UDSM! Tena wewe Hata paragraph hutoboi!

Makamba:
Fellowship. After his time with the Carter Cente

2013 Archbishop Desmond Tutu Leadership Fellow


Bachelors degree in Peace Studies at St John's University, Minnesota
MSc in Conflict Analysis and Resolution at George Mason University, Virginia
Hakuna mahali nimejiongelea mimi kwenye kile nilichao andika.

Nimesema hivii, alifutiwa matokea Galanosi form 4 kwa udanganyifu wa mtihani, pili, five na six alipiga Forest Hill, Morogoro alipotoka na 4. Usilete hapa mambo ya degree kwakua zinauzwa bei chee kwa kilaza yeyote mwenye uwezo wa kulipia.

1710194323070.png

Sasa wewe uko bize kuniongelea mimi. BTW, seminary hawachukui kilaza na mimi nimetokea St. Francis de Sales, Kihonda, Morogoro. Sisi huanza na pre-form one huko Lububu, Tabora chini ya wasomi wa viwango vya masters kuendelea, mapadre Wakihindi. Huko mwaka na nusu ni kujifunza lugha ya malkia. Ni marufuku kuongea Kiswahili unapoanza form one Morogoro. Wanafunzi wote waliokuwapo Forest Hill ni failures, sasa sijui unanifananishaje na vilaza.

Tatizo lako ni itikadi za NATO chini ya kivuli cha Makobazi. 🙄
 
Kuandika kiingereza siyo kuwa na akili, huyo jamaa ni boya hata umsafishe vipi, na wewe unalijuwa hilo. Hizo degrees za liberal arts Marekani wala siyo ishu, hata ukiwa zuzu unafaulu. Unachotakiwa ni kulipa ada, kuhudhuria madarasa na kumaliza assignments, basi.
Tatizo la huyo mwana hata yeye ni boya ndio maana hawezi ku-identify boya from mtu mwenye akili. Sisi tunaanza form one tukiwa na uwezo wa kuandika na kuongea a concise, well-organized, and grammatically accurate sentence. Wakati hakuna na huwezi mkuta mtu toka shule za serikali ama shule za kiboya kama Forest Hill anauwezo huo.

Kingereza kipi cha Makamba alichoanzia kujifunza USA?
 
Back
Top Bottom