ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,248
Ujenzi wa Viwanda unaoendelea maeneo mbalimbali ya Nchi ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote achana na hiki Cha Serikali namaanisha kutoka private sector.Asa haya ndio twayataka.
Weekend hii nitaleta picha za kiwanda Cha Bil.600 plus Cha Vinywaji baridi Mjini Sumbawanga.