Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You have only 14 level 5 hospitals mzee. I told you to post a list of level 5 hospitals several time lakini unaanzisha mada nyingine 🤣🤣🤣
Ukimaliza ku compile hiyo list just weka hapa watu wacheke 🤣🤣🤣
Ukijibu hii swali nafunga hii account. Hospitali zenu za mkoa zinafanya brain and spine surgery? Swali rahisi sana.
 
Haya ni maujinga aliyoyachonga Mkwere, Kikwete. Huyu dogo alifutiwa matokeo Galanosi baada ya kufanya udanganyifu kwa kuiba mitihani days before ya siku ya kutahiniwa. Akaelekea Forest Hill, Morogoro alikochomoka na 4 na kuishia college za jamii huko USA na kurudi bongo kukuta ajira wizara ya mambo ya ndani inamsubiri alipopewa nafasi za upendeleo chini ya Membe, Mulamula na Kikwete, then kuwa personal msaidizi wa Kikwete na campaign manager wa Mkwere kwenye uchaguzi 2015.

All in all, baba yake ni boya kama watoto aliowazaa.

1710191742216.png
 
View attachment 2932199
Serious Hata Kama unamchukia mtu si kihovyo! Makamba alikuwa speechwriter wa Kikwete! Nina uhakika wewe huwezi kuandika kurasa kwa Kiingereza bila kukosea Kama mwendazake na PHD ya mchongo ya UDSM! Tena wewe Hata paragraph hutoboi!

Makamba:
Fellowship. After his time with the Carter Cente

2013 Archbishop Desmond Tutu Leadership Fellow

Bachelors degree in Peace Studies at St John's University, Minnesota
MSc in Conflict Analysis and Resolution at George Mason University, Virginia
 
Kuandika kiingereza siyo kuwa na akili, huyo jamaa ni boya hata umsafishe vipi, na wewe unalijuwa hilo. Hizo degrees za liberal arts Marekani wala siyo ishu, hata ukiwa zuzu unafaulu. Unachotakiwa ni kulipa ada, kuhudhuria madarasa na kumaliza assignments, basi.
 
The might mighty Bongo commandos…Psych!… 🤣🤣I have tried long time to analyze this photo… I need help..🤣🤣…. The only conclusion I arrive to is the firewood is meant to smash the enemy head Incase he runs out of bullets…. I give up…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2932055
whats the log for honestly...jeez.these ones still stuck in some 1860 communist mentality
 
The dumb kinjekitile ngwale descendants are right here.The hereditary dumbness seem to be a thing in that arab wannabe country lol
You are actually right… Kenya had Mau Mau rebellion, Nandi resistance etc… but regardless of any believe, they all knew well that you had to avoid Mzungu bullets.. they kill… so for a group of people to drink on some mythical water kool aid … it beats any logic… and I see such characters all over this forum… think of Best 007 without a hint posting of a $300 billion Bongo GDP… isn’t that like believing in magical water?…🤣🤣🤣🤣… as a matter of fact we will call him from now Kinjiketile 007…🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuandika kiingereza siyo kuwa na akili, huyo jamaa ni boya hata umsafishe vipi, na wewe unalijuwa hilo. Hizo degrees za liberal arts Marekani wala siyo ishu, hata ukiwa zuzu unafaulu. Unachotakiwa ni kulipa ada, kuhudhuria madarasa na kumaliza assignments, basi.
Leta accomplishments zako ewe usiye boya!
 
And did you know Kenya is the ONLY AFRICAN nation to operate US Special Forces PZL M28 aircraft… now 4 of them in the hands of KDF Special Forces … wachana na Kenya .. sio ligi yenu…
IMG_2570.jpeg
IMG_2571.jpeg
IMG_2572.jpeg
 
Back
Top Bottom