ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,245
Only in Tanzania ndio tumefikia level hizi 👇👇
View: https://youtu.be/jCo60_iEAOA?si=qOFDLGLwNYZqu6ZF
View: https://youtu.be/jCo60_iEAOA?si=qOFDLGLwNYZqu6ZF
Wanaiba mikate hao hatari walisafisha supermarket within few minutes baada yakuingia supermarket IPO empty🤣🤣🤣🤣🤣Hivi Hawa Si ndo wanajeshi wao Si ndo wale wanajiangukia tu kwenye mapick up bila sababu?
Nani huyo🤣Kuna mmoja alijipost siku moja humu akiwa amevaa Tai pana. 😂😂😂
Unasemea nurse wa shakiraHalafu kuna kipchirchir arapTeargas alijiposti kavaa viatu vya skating huku anajiona mjanja, ha ha ha🙂
Mediocrity, you picking the one longest route for your airline just so you can compare, even then huna bahati. Show me air Tanzania New york Route 😂😂Ukinioneshe KQ ikiwa na route ya kwenda Guangzhou nakupatia $1000 🤣 🤣 🤣 🤣
Hiyo tai ni zile wanauza kwa mafungu kama nyanya. 😂😂😂Nani huyo🤣View attachment 2932805
5 years ago.Mnaona vile mnaplay catch - up. Cameras were installed in kenya major cities a decade ago. A decade later ndio mnaplan
Hizo ndio zilikuwa shule za bei ya ghali miaka ya 1990s na watoto vilaza wa walioshika madaraka CCM na serikali wengi walikuwa hapo: Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba, Makamba.....Sasa hivi Forest hill ishanunuliwa na waarabu mkuu.
Uko pesa ya kununua hii? Kwanza mmezoea unofficial environment ndio maana mnakaa kama chokoraa.Kijana anavaa viatu vya wazee. 😂😂😂
View attachment 2932821
Sasa hivi pale ukitaka kuingia kichwani uwe vizuri na dini uwe vizuri.Hizo ndio zilikuwa shule za bei ya ghali miaka ya 1990s na watoto vilaza wa walioshika madaraka CCM na serikali wengi walikuwa hapo: Emmanuel Nchimbi, Sophia Simba, Makamba.....
Pole sana.Uko pesa ya kununua hii? Kwanza mmezoea unofficial environment ndio maana mnakaa kama chokoraa.