much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,548
Nairobi yote ndani
Nairobi yote ndani
kaika wakenya nliowakubali huku ni yule jamaa ndiomaana sasa hivi hashindi hili jukwaa yupo international kule anawasagia hamas kunguni huku wanamwangusha utoto mwingi na hii mada ilianzishwa kwa lengo zuri tu.Sasa ww ndugu yangu tangia tuanze huu izi ulisha ona Kundustan kapost vitu kama hivo kwa ajili ya kilimo mkenya mkweli tu hum ni Mk54 yeye alikuwa anakubali anasema Kabisa Kenya 0 Tanzania 10
kaika wakenya nliowakubali huku ni yule jamaa ndiomaana sasa hivi hashindi hili jukwaa yupo international kule anawasagia hamas kunguni huku wanamwangusha utoto mwingi na hii mada ilianzishwa kwa lengo zuri tu.
Kuna mmoja alijipost siku moja humu akiwa amevaa Tai pana. 😂😂😂mmmmh sidhani 😂😂na kama yupo ni kati ya 1%😅😅acha tuendelee kuwa enjoy bro
Sasa hivi Forest hill ishanunuliwa na waarabu mkuu.Tatizo la huyo mwana hata yeye ni boya ndio maana hawezi ku-identify boya from mtu mwenye akili. Sisi tunaanza form one tukiwa na uwezo wa kuandika na kuongea a concise, well-organized, and grammatically accurate sentence. Wakati hakuna na huwezi mkuta mtu toka shule za serikali ama shule za kiboya kama Forest Hill anauwezo huo.
Kingereza kipi cha Makamba alichoanzia kujifunza USA?
Mama anafanya kweli 🔥🔥
Sio kama Tanzania ni destination yao???? Then booooom 😂😂😂😂Halafu mtu amepost that Kenyans pass through Tanzania on their way to SA Sio eti Tanzania Ni destination yao, yeye anachukulia kama competition Sasa anajaribu kuprove eti Watanzania wanaenda SA kuliko Wakenya. Yani mtu akwambie 'mimi hunywa chai kila siku' wewe unajibu, 'Sasa chai ni kitu cha kuringa nacho, mimi hunywa mitungi mbili ya chai daily na siongei'. Alafu unaambiwa hujaelewa bado unaendelea kupost picha ukinywa chai. Huyu mtu anaitaji usaidizi.🤣🤣🤣
Thousands or millions of Kenyans traverse the Nairobi Capetown route for work and business. Notwithstanding the around 30 weekly flights to Johannesburg and Capetown
Halafu kuna kipchirchir arapTeargas alijiposti kavaa viatu vya skating huku anajiona mjanja, ha ha ha🙂Kuna mmoja alijipost siku moja humu akiwa amevaa Tai pana. 😂😂😂
Usichojua ni kwamba Tanzania ni moja ya source kubwa sana ya utalii SA just listen to Tanzania radios kila second utasikia tangazo la SA tourism, billboards na ads kibao actually wana mpaka x page dedicated to Tanzania marketing onlySure, many Kenyans have done Nairobi to Cape Town road trip. The dumbass can't understand, that's why he is comparing what you posted to public transport.
Structure ipo proper ila finishing kama zile hangings za pipelineKenya National Hospital/University of Nairobi East African Kidney Institute full gear. This one watakuja wate huku.
![]()
![]()
![]()