Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana Baba Levo aliwaambia wako miaka 25 nyuma. 😂 😂 😂 Bongoslum ndio ufanyiwe brain surgery lazima uendee muhimbili au utakufa bure.


View: https://x.com/paukwa/status/1230370420123193345?s=20

As usual naiona forehead 🤣 🤣 🤣 👇 👇

1710237896165.png
 
Out of Context je hiyo ni picha ya mnyama kama mlivyo weka? 🤣🤣🤣
Tanzania inawaumiza sana kichwa. Everyday you copy from Tanzania. I believe now kenya do not have designers.
wawekee madesigner wa vitu vya ndani kama samani za ndani vitanda,kabati tv showcase urembo wa ndani na bustanini tz hatushikiki mkuu.
 
Cape town road trip using personal cars , like on to two weeks njiani
Si hii ushamba ya mabuses.
Aliekwambia wiki mbili ni Nani?? Siku 2 Tu uko South Africa Tanzania to Zambia to Zimbabwe to South Africa

Na mkenya yoyote ili aende South Africa by road ni lazma apitie dar

View: https://twitter.com/DaviesKinanga/status/1665363089976434690?t=5G5rRneaKgJAS0zLgC-FXA&s=19


View: https://twitter.com/DaviesKinanga/status/1665363341844291584?t=BErfUZixKTnsKuJ0ZtTjfg&s=19


View: https://twitter.com/DaviesKinanga/status/1665363517220823042?t=w1m2Ca8t43LnAns0Eta0Dw&s=19
 
Usitulaumu TPDF walaumu jeshi la Congo walopewa jukumu kwa hilo eneo.
Hayo maeneo wanayoyachukua hao rebbel yalikua chini ya fardc na wazalendo,SADC bado hawajafika na soon wanafika utasikia vilio,kingine SADC sasa hivi hawawataki hao fardc maana wengi wao wananunuliwa then wanauza ramani kwa adui,wacongo wamekosa uzalendo kabisa kwa nchi yao
 
Tanzanians knew about the sickness and death of Magufuli from Kenyans. Ama hiyo pia unataka kupinga?
Acha taarabu za Mombasa lete ushahidi.
Tanzania tulijua muda kuhusu hali ya Raisi wetu ila tulikua tunasubiri Confirmation ya kifo chake kwa uongozi.
Kwani Tanzania haina wasemaji mpaka tujue kupitia Kenya???
Leta ushahidi wacha twaarab za Lamu.
 
Back
Top Bottom