Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile kitu inawakimbiza mbio wakenya😅😅😅
20230724_210430.jpg
 
Yani umeamua kumaliza mende kwa kutumia bazuka bwana😂😂
Karen imekusanywa mpaka na misitu nimeona mpaka sehemu watu wanachimba mchanga Karen 😅😅😅😅😅😅😅

Masaki hakuna pori wala ushuzi wa misitu Karen robo tatu ni misitu na mapori na ukibisha sema 😅😅😅😅😅
 
Tumepanda nafasi 2 zaidi kwenye FIFA ranking harafu unaongea ujinga hapa.

Tulizeni vinyeo wanaume tupambane for EAC.Weekend hii tunakiwasha CAF Champions league
But we are still ahead of you despite the FIFA ban during AFCON qualifiers…. And you have the guts to talk about rankings …. Thanks for making my day 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sijakuuliza unionyeshe nyumba za mbagala, nimekuuliza unionyeshe nyumba inayofanana na zile nikipost kidesign. Tumia akili
Design sio lazima zifanane kijana.
We do have our own test sio lazima design zifanane.
USIFOSI TUFANANE
 
But we are still ahead of you despite the FIFA ban during AFCON qualifiers…. And you have the guts to talk about rankings …. Thanks for making my day 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo rank wewe unashuka Tz anapanda??
Tumetokea toka 135 2022 mpaka 119 2024 wewe ukaishia ku drop.
Na kwasasa Tz ina timu bora maana imeshiriki mashindano mengi hivyo wewe umebaki rank tu ila kiubora hauna ubora.
 
These 7 buildings are the only things going on in tz......In Kenya we have thousands and thousands going on upto lodwar town lakini mehemehe hakuna....this village you call dodoma that you are desperately trying to upgrade is still underwhelming for a capital city. Is there a dual carriage way in that town or village or whatever
 
Back
Top Bottom