ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Nyang'au punguzeni shobo 🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/C3n59c8N1c5/?igsh=MWtwd3FlOTR1Y3M4Ng==
View: https://www.instagram.com/p/C3n59c8N1c5/?igsh=MWtwd3FlOTR1Y3M4Ng==
Heko Taifa Stars 🔥🔥
View: https://twitter.com/dailynewstz/status/1760138273148862557?t=-cWqk0XOOUNajKaCaYxCgA&s=19
My Take: Kunyaland mtawakilisha mashindano ya vibaka 😁😁
Nyie subirieni mashindano ya loosers yatakapoanzishwa 😁😁I hope they don’t take their AFCON resume with them…😂😂😂😂😂
Kunyaland wapo stagnant hawana upcoming middle class suburbs anymore, wapo wanategemea rentals za foreigners 😂😂
View: https://youtu.be/U0LiroULt0w?si=epFpfD-ijksEfGOI
After your AFCON disaster, nobody takes your soccer seriously… not even yourselves…🤣🤣🤣Nyie subirieni mashindano ya loosers yatakapoanzishwa 😁😁
Tumepanda nafasi 2 zaidi kwenye FIFA ranking harafu unaongea ujinga hapa.After your AFCON disaster, nobody takes your soccer seriously… not even yourselves…🤣🤣🤣
I won't, Niletee freshly built middle class suburb kama hiyo in Nairobi established in less than 10 years ago with such kind of magnitude and magnificenceWhatever you are smoking, you need to reduce the dosage 🤣🤣
Tanzania Iko na middle class suburbs?I won't, Niletee freshly built middle class suburb kama hiyo in Nairobi established in less than 10 years ago with such kind of magnitude and magnificence
Arusha
Wakundustan wa hapa JF tu ndio watapinga hili ila ukweli wanajua experts wote wa construction industry Kunyaland ni watanzania
View: https://twitter.com/CollinsChoge1/status/1760366503386354003?s=19
Mombasa
Hawa wenzetu ni clowns wala hawatushangazi humu maana tunaujua vizuri utupu wao 😁Wanakwambia hela yao inathamani kuliko yetu kwa ground mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Muthaiga golf club.Guess the location View attachment 2911964View attachment 2911965
Eti Hawa wanatucheka 🤣🤣🤣🤣🤣👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C3nyRxesbSh/?igsh=MW52Znl5MjlzMm52dQ==