Nyuma Kali Kali Tu dodoma
View: https://www.instagram.com/reel/C3Hxvy9tswR/?igsh=MWRqbjkxZDI3NDRpMA==
Halafu anashindwa kuelewa kuwa hiyo ni private health center.Kwani hiyo ndio ni hospital pekee within DODOMA?
Yes, the demand for quality retail space can only be driven by the middle class and the rich.Kwani mall ndio kipimo cha maendeleo ya sehemu??
Mbona unachekesha wewe jamaa??
Super market hazitoshi kukidhi mahitaji ya wahitaji??
Pole sana kwa kukariri kuwa sehem ilioendelea lazima iwe na mall.Yes, the demand for quality retail space can only be driven by the middle class and the rich.
Visit Tanzania ilianza kabla ya visit Rwanda, do you want the proof?Tanzanians, there’s something about originality, come up with something of your own, do not just copy paste, C’me oon!
You can’t just wait for someone to popularize it then you go own it, be unique!
View attachment 2912395
View attachment 2912396
View attachment 2912397
View attachment 2912398
Kwahiyo unataka kumaanisha kwamba Tanzania kuna njaa auu??I don't have anything else to add.
No wonder Kuna mwenye anashangilia kula Mchele😂
View attachment 2912400
That’s like saying Tanzania is richer than the United States because your economy grew at a higher percentage last year… you are arguing with the economy graph screaming….. look at the curve … Tanzania is moving up while America is down… So Tanzania economy is stronger….. Now you see how dumb that sounds?… so let’s now get back to those FIFA rankings… Kenya is officially better than you … am sure FIFA analysts know better than you or as Bongolalas like to say .. wewe na Mzungu Nani anajua zaidi?… 😂😂😂😂Kwa hiyo rank wewe unashuka Tz anapanda??
Tumetokea toka 135 2022 mpaka 119 2024 wewe ukaishia ku drop.
Na kwasasa Tz ina timu bora maana imeshiriki mashindano mengi hivyo wewe umebaki rank tu ila kiubora hauna ubora.
I don’t comprehend… are we supposed to be impressed by that metal flag or the bus shed?….🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna sehemu utapata city kama hii Africa zaidi ya magufuli city only 🥰🥰
View attachment 2912696View attachment 2912697
I live in Miami … please don’t insult Miami..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙂nyumba za vitenge kali ukiswahilini......"kama miami "aisee
Sifia public hospital zinazobeba mamia ya wakenya masikini wasiojiweza unasfia hospital anaenda kutibiwa governor nyongo wa kisumuVs Aga khan Kisumu
View attachment 2912869
You've hit the nail on the head. Hizi nyumba zao hukaa vitenge.🤣nyumba za vitenge kali ukiswahilini......"kama miami "aisee
Unakuwanga Na kasumba ya kuingilia mijadala usiyojuwa imetoka wapi halafu ukipigwa na facts unaanza kulialia ukihamisha magoli.Design sio lazima zifanane kijana.
We do have our own test sio lazima design zifanane.
USIFOSI TUFANANE
This Hospital is not even half of JOORTH. This is the only hospital in Dodoma while Kisumu has multiple.Sifia public hospital zinazobeba mamia ya wakenya masikini wasiojiweza unasfia hospital anaenda kutibiwa governor nyongo wa kisumu
Benjamin mkapa ultra modern hospital dodoma tafuta hospital ya level kama hzi Kisumu nifunge ACC😅😅😅😅
View attachment 2912937View attachment 2912938View attachment 2912939View attachment 2912940
You are disrespecting Kisumu by comparing it to that village.Vs Aga khan Kisumu
View attachment 2912869
Hizi ndio akili ambazo mko nazo zinawapoteza.That’s like saying Tanzania is richer than the United States because your economy grew at a higher percentage last year… you are arguing with the economy graph screaming….. look at the curve … Tanzania is moving up while America is down… So Tanzania economy is stronger….. Now you see how dumb that sounds?… so let’s now get back to those FIFA rankings… Kenya is officially better than you … am sure FIFA analysts know better than you or as Bongolalas like to say .. wewe na Mzungu Nani anajua zaidi?… 😂😂😂😂
Jamani humu mijadala ya wote hakuna mjadala wa mtu.Unakuwanga Na kasumba ya kuingilia mijadala usiyojuwa imetoka wapi halafu ukipigwa na facts unaanza kulialia ukihamisha magoli.