Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20240222_122115.jpg
 
Nyumba za mbagala hizo Onesha kama kuna eneo huko naislum kibera, mathare, mukulu kayaba, kwa reuben, lina nyumba kama hiyo
Unajiaibisha maanake hiyo ni ishara ya lack of planning. Yani nyumba zinajengwa tu polite, katikati ya slum Kuna mansion. Ndio maana hadi mitaa yenu ya kifahari kama mbezi inakaa slums maanake hakuna zoning.
 
We are not denying the power issues my friend we have issues as well but not as much as you guys, I was staying at some hotel in Dar and there was Power loss a couple of times the few days i was there(despite it being a big hotel).
Do you however admit that you have power issues?
Hvi Kati ya Sisi na nyinyi Nani mwenye mikakati madhubuti ya umeme?? Sisi tunajengwa bwawa la umeme kubwa east and central Africa na mwaka huu linaanza kazi haya tueleze nyinyi muna mikakati gani
 
Back
Top Bottom