Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamani humu mijadala ya wote hakuna mjadala wa mtu.
Pia mbona ulichoongea kinaeleweka nini unalenga??
Labda wewe ndio uhamishe magoli.
Hata nilichoeleza bado huelewi. Sijasema mjadala ni wa mtu, nimesema kabla ujibu post, fuatilia mjadala uuelewe ndio uingilie. Ndio umeelewa nilichosema mwanzo, ila umeelewa context? Umeelewa kwa nini nikamwambia hizo nyumba hazifanani? Usiwe mtu wa kubisha tu na blind patriotism.
 
JOORTH
1708671133040.png
 
Mtasema walikuwa trained Kundustan
Sisi Wakenya huwa hatuna roho chafu kama nyinyi. Umeona tumewapea vijana pongezi zao. Angekuwa Mkenya mngekuwa mnavumurusha matusi humu eti ooh tunajipendekeza kwa Wamarekani eti ooh, michezo nyingine haina mvuto, eti ooh, vijana wenyewe wamekauka sura, ooh tuonyesheni viwanja vya soka na upuzi kama huo. Haya unayosema kwa lugha ya kimombo yanaitwa projection - Yani unachukulia jinsi wewe ungereact kwa jambo kama hili ndio mwenzako atakavyoreact. Hatuna hiyo chuki bro, pongezi za vijana tunawapa bila shida.
 
This Hospital is not even half of JOORTH. This is the only hospital in Dodoma while Kisumu has multiple.
Hiyo joorth enyewe sasa 😂😂😂 aisee .nimeipitia nionee 😂😂😂 ni aibu kuilingalisha na BMW Mkapa hospital.. heb taja hospital nyingine hiyo joorth isn nothing to DOM standard hospitals
 
Sasa we mnuka mavi, mbwa wewe, hii joorth ni competitive to Mkapa hospital?😂😂😂😂 Hii si ni kama kituo cha Afya, tukianza kwenye huduma za kibingwa hadi muonekano, mbona unalazimisha vitu ambavyo haviwezekani.? 😂😂😂
Umeenda kazi ama unangoja bibi atoke kazi akununulie supper?

Kwanza unatumalizia hewa hapa na hiyo pua Yako kubwa.
 
Usikimbie mada uliyoianzisha wewe mnuka mavi, 😂😂😂 hicho kituo cha Afya sijui joorth kinawezekana vipi kuishinda mkapa hospital, tell us we want to know
Mada yangu ni kuwa unalishwa na bibi ama hutaki hiyo mada?
 
Hii ya leo imenishangaza sana, kuna kichaa mmoja eti anataja hii takataka Kwamba inazidi Mkapa hospital 👇
Screenshot_20240223-095212_1.jpg
1(17).jpg
1708671133040.png
hiyo Mkapa hospital enyewe ndio hii Halafu 👇
Benjamin-Mkapa-Hospital-2(0).jpg
Screenshot_20240223-113403_1.jpg
yani kuanzia modernity hadi huduma, BMW Mkapa is far better, heb kwanza kwa kutazama tu hivi ni vitu vinafaa kulinganishwa kweli? Huyu mnuka mavi ni kichaa huyu Teargas 😂😂😂😂wivu na Roho mbaya vitakuua mbwa wewe
 
Back
Top Bottom