Asanti sana kwa kukubali Mbweni na Bunju hakuna mall hata moja. 😂 😂 😂Supermarket zipo kibao mbweni na bunju, au ww umeaminishwa sehemu kwenye mall ndio maendeleo 😁😁😁😁
mall Inajengwa kunduchi tena kubwa Sana ya kisasa na na karibu na bunju au mbweni ww ulikua unatakaje