NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,025
- 19,205
Are you not the same people who use tweets to make judgements about the situation in Kenya?Lakini hayo ni maoni ya mtu mmoja tena member wa JF haina maana ndio uhalisia.
Are you not the same people who use tweets to make judgements about the situation in Kenya?Lakini hayo ni maoni ya mtu mmoja tena member wa JF haina maana ndio uhalisia.
Are sure Masaki hakuna tarmac? Unpaved roads in Masaki hazizidi 5 tena ni short lanes tu.Google Earth - Masaki (Richest neighborhood in Uswazi)
No tarmac in sight. Apparently, even where the rich hide ni vumbi tu with unpaved roads duh 😂. Hata heri Eastlands kuna paved roads and sidewalks
View attachment 2912509
You understood.Are you not the same people who use tweets to make judgements about the situation in Kenya?
Kwa hivyo unajua zaidi kushinda Google Maps?Are sure Masaki hakuna tarmac? Unpaved roads in Masaki hazizidi 5 tena ni short lanes tu.
NB: I know every inch of Masaki.
Masaki is very tiny. There should be no single unpaved road in Masaki.Are sure Masaki hakuna tarmac? Unpaved roads in Masaki hazizidi 5 tena ni short lanes tu.
NB: I know every inch of Masaki.
Wakumbushe Ngumo is part of Kibra yenye wabashinga wakitusi humu.Masaki can't even rival Ngumo estate
View attachment 2912555
Hii hapa Masaki brazaAre sure Masaki hakuna tarmac? Unpaved roads in Masaki hazizidi 5 tena ni short lanes tu.
NB: I know every inch of Masaki.
Buruburu is 100% tarmacked masaki isn'tAre sure Masaki hakuna tarmac? Unpaved roads in Masaki hazizidi 5 tena ni short lanes tu.
NB: I know every inch of Masaki.
Tarmac road iko Masaki ni main road pekee yake 😂. Feeder roads zote ni vumbiTz is just some overrated piece of shit
Buruburu is 100% tarmacked masaki isn't
Google maps 'told you' Masaki hakuna lami? Why don't you ask that Kenyan guy who was in Tz recently I'm sure he spent most of his time in Masaki.Kwa hivyo unajua zaidi kushinda Google Maps?
Tuonyeshe video kama hii ya Masaki.🤣Google maps 'told you' Masaki hakuna lami? Why don't ask that Kenyan guy who was in Tz recently I'm sure he spent most of his time in Masaki.
Barabara za Masaki ndio hizi hapa. This is the best inroad in Masaki.
Wewe sio mzima. Hapo ni Sea view near Aga Khan hospital unaweza kuita Upanga.
Wewe sio mzima. Hapo ni Sea view near Aga Khan hospital unaweza kuita Upanga.
Masaki ni polyclic iko off Chole road ambayo ni main road and tarmac.
Chole road enyewe ndio hii. Imeparara kweli kweli.Masaki ni polyclic iko off Chole road ambayo ni main road and tarmac.
The one you posted earlier ni main hospital just after Tanzanite Bridge.