Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanakwambia hela yao inathamani kuliko yetu kwa ground mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ndio perfect example ya mabishano yetu hapo nyuma kuhusu purchasing power 🤣🤣🤣🤣
Nadhani mmejionea wenyewe with less money you get more value in Tz than you would get in Kenya 😁

Naanzisha mjadala povu ruksa nimekaa paleeee 🤣🤣🤣
 
View attachment 2909631View attachment 2909632View attachment 2909633
Kunyan wengi wanaojitambua na wenye pesa sasa hivi uchukua mafundi Tanzania,huyu jamaa kwenye picha amenijengea nyumba 2 ya 3 ya mdogo wangu,kwa sasa amepanda gharama na muda mwingi yupo kunyaland na si yeye tu,kunyan wengi pia now wanafanyia renovation ugly mijengo yao kupitia mafundi wa TZ
Wakundustan wa hapa JF tu ndio watapinga hili ila ukweli wanajua experts wote wa construction industry Kunyaland ni watanzania


View: https://twitter.com/CollinsChoge1/status/1760366503386354003?s=19
 
Back
Top Bottom