Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

BRT za ndani ya jiji zinasuasua sasa tunaota ndoto ya BRT kwenda dodoma😁😁😁😁😁
Hiyo sio BRT ni Expressway Ile toll road ambayo ujenzi unaanza baada mvua kukata.

BRT Kwa Dom haikwepeki tena Serikali ilishasema kwenye Majiji yote 5 itafika ni Suala la mda tuu na kubadili sheria.
 
Nairobi
GGxIVBlWIAA-PUS.jpg
GGxIVBeXAAAKvdU.jpg
GGsMQpZXEAAHqll.jpg
 
View attachment 2911320
Ushamba ni mwingi na ufukara,hizo skate shoes tu alivyovaa unajua kabisa hajui kuvitembelea amevaa kwa ajili kupigia picha,muangalie alivyoinama
Mbona hamuongelei Head phone na wire wake 😂😂😂😂, siku hizi si THE BLUE TOOTH DEVICE IS READY TO PAIR ??? 😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom