Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameamua to sue their government over power rationing. My question is, they are sueing the government to who?
Another question is how do you sue the government when the president mwenyewe hana umeme statehouse?

Yaani nilikufinya penyewe hadi wa leo niko akilini mwako ata nikipotea unanitafuta tu🤣🤣🤣🤣🤣 ukileta janja janja naumbua, ukweli haupendi ndio tatizo lako., kapingane na google earth😆😆😆😆😆., kwanza uko na dollar ngapi? Umekunywa chai ya sukari? kisha ume charge simu yako, umeme ni kero kwenu najua.., boss tulia mlivyo mtafika tu wala usife moyo, SGR nawewe pia utapanda tu., kuwa mpole kaka, miradi mtakamilisha ata ikiwachukua miaka milioni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 Umekimbia Uzi sasahiv unachungulia kwa mbaali, acha uoga kaka mkubwa, Rudi hapa nikupige spana😂😂😂 mwenzako tonny alishakata tamaa.
 
true...if you visit arusha halafu stima ipotee you would think you are back into the 80's
Dar bila stima looks like this.

1707651067540.jpg
 
Yaani nilikufinya penyewe hadi wa leo niko akilini mwako ata nikipotea unanitafuta tu🤣🤣🤣🤣🤣 ukileta janja janja naumbua, ukweli haupendi ndio tatizo lako., kapingane na google earth😆😆😆😆😆., kwanza uko na dollar ngapi? Umekunywa chai ya sukari? kisha ume charge simu yako, umeme ni kero kwenu najua.., boss tulia mlivyo mtafika tu wala usife moyo, SGR nawewe pia utapanda tu., kuwa mpole kaka, miradi mtakamilisha ata ikiwachukua miaka milioni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ulifia wapi we paka asee you still exit 😁 😁
 
Back
Top Bottom