Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkundustan hawezi kujenga contemporary homes 300 kwenye 1 acre of land each house hata siku 1 sababu ardhi yote inamilikiwa na mzungu, ndio maana wamebaki kujenga vertical slums kama pipeline ambazo kila leo zinawaangukia

View attachment 2911353
Shida yenu mmezoea zile dreamhouses zenu za Tandale for a very long time sahii vile mmeanza kujifunza real estate kidogo mnaona Ni miujiza. Yani 300 houses ndio kitu kinakutia kiburi hivi?🤣🤣🤣 That is a very normal thing in Kenya bro. See this small girl here built 200 houses in Kitengela all by herself. Kumbuka hizo ni mansions, sio vijumba vidogo kama hivyo ulivyopost. Na hapa tunaongelea tu msichana mdogo, hata hatujaguza mabigwigs wa real estate hapa Kenya.

View: https://youtu.be/TPeLQigTsFM?si=59iSp4FAhbbk43AK
 
Mukiambiwa ukweli hamutaki munataka kudanganya hata visivodanganyika😁😁😁
We are not denying the power issues my friend we have issues as well but not as much as you guys, I was staying at some hotel in Dar and there was Power loss a couple of times the few days i was there(despite it being a big hotel).
Do you however admit that you have power issues?
 
Kenya ndio iko na middle class? Unafkiri middle class ni kama wale wanao rent bedsitter pipeline ndio anakua middle class😁😁
Tanzania middle class is non existence.

1708586712680.png
 
Shida yenu mmezoea zile dreamhouses zenu za Tandale for a very long time sahii vile mmeanza kujifunza real estate kidogo mnaona Ni miujiza. Yani 300 houses ndio kitu kinakutia kiburi hivi?🤣🤣🤣 That is a very normal thing in Kenya bro. See this small girl here built 200 houses in Kitengela all by herself. Kumbuka hizo ni mansions, sio vijumba vidogo kama hivyo ulivyopost. Na hapa tunaongelea tu msichana mdogo, hata hatujaguza mabigwigs wa real estate hapa Kenya.

View: https://youtu.be/TPeLQigTsFM?si=59iSp4FAhbbk43AK

Kuna nyumba hapo za kulinganisha na venny? Hivi hizo nyumba za venny architecture yake imeshafika Kunyaland? Hizo nyumba unazoonesha zimejaa huko uswahilini hazina maajabu yoyote tena zimejengwa kwa space kubwa sio vinyumba vyenu vimebanana kama slums
 
🤣🤣🤣
Tafadhali nionyeshe nyumba kama hizo nilizopost hapo Uswahihilini kwenu nihame huu uzi.
Naona umebadilisha magoli sasa unataka kubase argument yako on opinion na shamba. Nimekwambia hizi vitu mnazoona mijiza huku kwetu ni za kawaida sana. 300 units sio kitu cha kutishia mtu bro. Nyingine hizi kutoka kwa mwanamke Sue Muraya. 753 Units. Nakwambia Kenya sio ligi yenu. 🤣 🤣 🤣
Inaitwa Fourways Junction.
16711849_1860178684194285_2974821458117106746_n.jpg

2.png
DJI_0056-copy-830x460.jpg

Halafu hiyo conteporary design ya hivyo vijumba vyako zijui vya venny usiona ni unique. That is the most abused design the world right now. Hamna nchi ambayo haina hiyo design. Hizi design nimekupostia ni uniquely Kenya sio contemporary kama hivyo vyenu. Hapa Kenya kuna contemporary flat room designs kibao huwezi linganiza na hivyo vyenu.
 
View attachment 2912017

Zipo mbagala na tandale in thousands better than that

Screenshot_20240222-114126.jpg
Screenshot_20240222-114144.jpg
Screenshot_20240222-114516.jpg
Screenshot_20240222-114545.jpg
Screenshot_20240222-114656.jpg
 
Hivi na hiyo akili yako ndogo hizi nyumba zimefanana kidesign? 🤣 🤣 🤣
Enyewe bongolala ni bongolala. Yani lazima tu mbishe.

screenshot_20240222-114144-jpg.2912036

Untitled%20design%20%2882%29_2.jpg
Tanzanians always have bad taste. Yeye hiyo nyumba amepost hapo juu ndio poa kwake.
 
Hivi na hiyo akili yako ndogo hizi nyumba zimefanana kidesign? 🤣 🤣 🤣
Enyewe bongolala ni bongolala. Yani lazima tu mbishe.

screenshot_20240222-114144-jpg.2912036

Untitled%20design%20%2882%29_2.jpg
Mbagala kuna macribs huwezi yapata sehemu yoyote naislum, landscaping, leafy na sio hizo slums zenu zipo congested sababu mzungu ameiba ardhi yote na hamna la kumfanya

Screenshot_20240222-121611.jpg
Screenshot_20240222-121424.jpg
Screenshot_20240222-121323.jpg
Screenshot_20240222-121222.jpg
Screenshot_20240222-121035.jpg
 
Back
Top Bottom