Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati wa mjomba hii miradi tuliona ikiwa imeshatekelezwa teyari, sahii ni blah blah blah tu, tuna bahati mbaya sana Tz
Mjomba wako aliokuta imeanza utekelezwaji na ni Samia ameikamilisha.
20231111_205057.jpg


WB hawakurupuki Bali wanatoa pesa baada ya assessment.

As we speak Tactic inaendelea Kwenye Manispaa 12 za Mwanzo
 
Mayoo🤣🤣🤣😂😂.

Yani unasema uko na gari lakini hujui logbook ni nini?🤣🤣😂😂😂


Logbook and driving license are two different things. Now I'm 1000000% sure huna gari.😂😂
Mzee hizo terminologies za kwenu hapa kwetu hazipo. Usilazimishe tufanane. 🤣 🤣 🤣
 
Dar bila stima looks like this.

View attachment 2911030
Dar / Tanzania ina overhaul the whole distribution and supplying system kwenda to the whole next level, infrastructure like this underground wired power network haitokaa ifike Kunyaland leo na milele sisi ndio tunaondoka huko kwenye medieval overhead spider network connections to underground network kama kawaida Tanzania ni wa Kwanza kuleta unusual progress


View: https://youtu.be/Yr2_CwXtSrE?si=6muhH3jO76U-aS20
 
View attachment 2911107

Tarehe 19 Februari 2024 jijini London ulifanyika uzinduzi wa 'Documentary Film' iitwayo "Footsteps: Journey to the Engare Sero footprints" inayohusu Nyayo za binadamu zenye umri wa miaka 20,000 zilizopo katika eneo la Ngare Sero katika Wilaya ya Ngorongoro Kata ya Malambo Mkoani Arusha. Nyayo hizo zilitokana na binadamu waliokuwa wakikimbia kufuatia mlipuko wa volcano katika Mlima wa Oldonyo Lengai. Filamu hiyo imeandaliwa na Mtengenezaji filamu mkongwe (Film Director) Ndugu Ndugu Leander Ward- ambaye anafahamika katika tasnia ya filamu kupitia filamu ya The Crimson Wing: Mystery of the Flamingos (2008), Wild Side (1995) and Prince Valiant (1997).
Nyang’au akina kichirchir arap Teargas bila aibu wataanza kusema Ngare Sero inapatikana kenya🙂
 
Siyo kila nchi wanatumia Logbook mzee
Aki wewe jamaa uko fala sana. Logbook inatumika everywhere all over the world. So nini inaonyesha gari ni Yako kama huna logbook ama hiyo registration card?😂😂😂
 
Mzee hizo terminologies za kwenu hapa kwetu hazipo. Usilazimishe tufanane. 🤣 🤣 🤣
Huezikuwa na gari na ukose kujua logbook ni nini😂😂😂.

This clearly shows you don't have a car na Jana ulipewa tu lift.


Show me that car's logbook ama hiyo registration card.
 
Huyu jamaa anadhani anabishana na maskini wenzake humu ndani . So sad
Bro si upate kitu inakupea pesa kwanza ndio uniongeleshe. Ambia hata watchman The best 007 akutafutie kazi kule kwao. Kama wewe ni maskini unadhani kila mtu ni maskini like you?

Unashindana na mwenye amekushinda a thousands times?
 
Back
Top Bottom