Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1. Ni loan
2. Less than 100k kwa account
3. Nice editing
4. Sio yako umeokota.
Btw, nafuraha namna unatunza slipu zangu kwenye simu yako.
I'm just using those slips to screw you😂😂😂.

If you didn't know I'm a quality analyst by qualification and profession, so fake things nitajua tu😂😂.

I like analysing things.
 
I'm just using those slips to screw you😂😂😂.

If you didn't know I'm a quality analyst by qualification and profession, so fake things nitajua tu😂😂.

I like analysing things.
Poor you with your poor analyst.
 
Kushindwa kutofautisha paper ya POS machine na ATM sio shida zangu.
Napenda tu unavyo weweseka.
Papers zote za Automated hufanana be it ATM or POS zote zitatao paper same in quality and measurements.

Mimi sijaiona ATM inakata paper na ruler🤣😂😂
 
Kisumu City.
1708536699612.jpg
 
Kuna mtu niliambia anionyeshe logbook kakatoroka hajarudi hadi saa hii. Najua kesho asubuhi kitu saa mbili ataomba mwenye gari logbook yake alafu atume😂😂😂.

Most of his pictures zinakuanga asubuhi saa mbili na 50 hapo.
 
Unalazimisha tukuone upo manaisha mazuri. This is stupidity. Unafanya hivyo ili upate faida gani? Unajidanganya mwenyewe tu.

Kwa akili yako hiyo utawndelea kuwa mtumwa.
Screenshot_20240221-074909_Chrome.jpg

Ushamba ni mwingi na ufukara,hizo skate shoes tu alivyovaa unajua kabisa hajui kuvitembelea amevaa kwa ajili kupigia picha,muangalie alivyoinama
 
Yuko kazini nchi haina umeme, Yuko kazini sukari hakuna nchini, Yuko kazini dolla hakuna nchini hata Sisi tunaomba Yuko kazini😄😄😄
Kwa hiyo wewe hujanywa chai Kwa sababu hakuna sukari au? 😂😂🤣🤣🤣🤣

Kwa hiyo simu Yako Haina chaji Kwa sababu hakuna umeme au? 😁😁😁

Mama yuko.kazini acha wivu wa kijinga,hakuna sekta Haina miradi zile stori za Hamuoni miradi kipya zimezima ghafla 🤪🤪

View: https://www.instagram.com/p/C3m618tIOE9/?igsh=MTZmMTFrMGlpeXJk
 
Back
Top Bottom