Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu itakumaliza 🤣🤣🤣 👇View attachment 2910006🤣🤣🤣🤣
Huyo pesa anayo, kazi anayo na halishwi na bibi kama wewe.

Unakaa kwa kitanda ukingoja uletewe ndizi jioni na bibi😂😂

meddy_clever_833e0c8bada6495dab1846124393bfef.jpg
 
Wakuu mniwie radhi kijana wenu, nilikua nabishana na huyo mnuka mavi, huyo ni rika langu that's why ilibidi nijibizanenae kitoto vile anastahili, najua humu kuna watu wakubwa wenye heshima zenu, kwahyo tuvumiliane viongozi. Case imefungwa hii..
 
Huyo pesa anayo, kazi anayo na halishwi na bibi kama wewe.

Unakaa kwa kitanda ukingoja uletewe ndizi jioni na bibi😂😂

View attachment 2910013
Compare these two pictures 👇
meddy_clever_833e0c8bada6495dab1846124393bfef.jpg
vs
IMG_20180325_012750_253.JPG
🤣🤣🤣 hata picha yangu mbaya still naonekana better than you, navaa vizur kuliko wewe, nipo kwenye mazingira mazuri kuliko wewe, na bado unaendelea kujipa moyo.?🤣🤣🤣
 
Wakuu mniwie radhi kijana wenu, nilikua nabishana na huyo mnuka mavi, huyo ni rika langu that's why ilibidi nijibizanenae kitoto vile anastahili, najua humu kuna watu wakubwa wenye heshima zenu, kwahyo tuvumiliane viongozi. Case imefungwa hii..
Huyo sio rika lako, huyo ni mkubwa sana kwako mkuu.
 
Huyo pesa anayo, kazi anayo na halishwi na bibi kama wewe.

Unakaa kwa kitanda ukingoja uletewe ndizi jioni na bibi😂😂

View attachment 2910013
Hii picha mbona ni ya 5 years ago.?
Screenshot_20240220-131625_1.jpg
🤣🤣🤣🤣 eti nimekaa kwenye kitanda nangoja kulishwa 🤣🤣🤣 mimi ni baba since 2021
BeautyPlus_20210613171943952_save.jpg
nina mke na nalea mtoto mzee wangu. 🤣🤣🤣🤣 My daughter is this big nowadays 👇
IMG-20220730-WA0000.jpg
 
Hii picha mbona ni ya 5 years ago.? View attachment 2910020🤣🤣🤣🤣 eti nimekaa kwenye kitanda nangoja kulishwa 🤣🤣🤣 mimi ni baba since 2021 View attachment 2910024nina mke na nalea mtoto mzee wangu. 🤣🤣🤣🤣 My daughter is this big nowadays 👇View attachment 2910030
So kazi Yako ni babysitting while your wife anatufuta kitu utakula usiku?

I'm sure hadi nguo pia unanunuliwa na bibi.
 
Back
Top Bottom